Kila jambo na wakati wake

Kila jambo na wakati wake

katusyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
1,455
Reaction score
434
Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, wakati wa kuzariwa na wakati wa kufa, wakati wa jua na wakati wa masika, wakati wa kupata na wakati wa kukosa, na inatakiwa unatapomwomba Mungu muombe kulingana na wakati hauwezi ukaomba mtoto kabla haujomba ndoa, je? wewe uko kwenye wakati gani? tumuombe Sana Mungu Maadam Anapatikana
 
Nipo kwenye wakati wa kumuomba mungu ainusuru nchi yetu na FISADI papa...
 
Nipo kwenye wakati wa kuomba Mungu aniinue kiuchumi

Amina unaweza ukanishilikisha kwenye maombi yako kama hautojali ili tuweze kumsihi na kumkumbusha Mungu kwamba baraka na utajili ni haki yetu kwani si kusudi la Mungu mwanadam kuishi katika umasikini wa kutupwa
 
Ha ha ha Amen
 
Niko katika wakati wa kumuomba mungu anipe furaha ya milele....
 
Niko katika wakati wa kumuomba mungu anipe furaha ya milele....

1444548197641.jpg
 
Muhubiri ngapi hiyo? Niko ktk kipndi kigumu ca kumkumbusha Mungu maombi yangu yoote niliyomuomba maana kasema njoo tusemezane nikumbushe upate haja ya moyo wako. Nahitaji kunyanyuka toka mavumbini na kuketishwa mezani na wakuu kiuchumi.
 
Nipo katikati wakati mungu anijaalie mapacha wa wakike nitimize idadi ya watoto 7.....
 
Back
Top Bottom