Duu! Kweli mapenzi hayatendi haki

katusyo

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
1,455
430
Yani mwanamke unampenda na kuonyesha mapenzi yako kwake lakini yeye wapi! kweli nimeamini kupenda sio kazi, kazi ni kumpata akupendae kwa dhati
 
Pole mkuu funguka kidogo uelezee alivyokutenda ndiyo tunaweza kupata Mwanga jinsi gani tukusaidie kwa ushauri
 
Yani mwanamke unampenda na kuonyesha mapenzi yako kwake lakini yeye wapi! kweli nimeamini kupenda sio kazi, kazi ni kumpata akupendae kwa dhati

Mkuu fanya vaisi vesa, ukiwa na demu usimpende, be rude!! Kama kumpenda mpende kwa 20% tu...ukizidisha imekula kwako!!!
 
Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Muhimbili baada ya kutembelea hospital hiyo na kukuta Vifaa/vipimo vya MRI na CT-Scan hazifanyi kazi kwa kipindi Cha miezi 2 wakati MRI na CT-Scan za hospital za watu binafsi zinafanya kazi.
Stay tuned for more details.
 
hivi hamna shughuli nyingine za kufanya!? Mwanamke siyo wa kumpenda kwa namna unavyoeleza, hawanaga shukrani hao!
 
Yani mwanamke unampenda na kuonyesha mapenzi yako kwake lakini yeye wapi! kweli nimeamini kupenda sio kazi, kazi ni kumpata akupendae kwa dhati

Yan we acha tuu ni balaa ndan ya maswaibuu
 
Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Muhimbili baada ya kutembelea hospital hiyo na kukuta Vifaa/vipimo vya MRI na CT-Scan hazifanyi kazi kwa kipindi Cha miezi 2 wakati MRI na CT-Scan za hospital za watu binafsi zinafanya kazi.
Stay tuned for more details.
Bujibuji lete updates, bravo presdaa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu fanya vaisi vesa, ukiwa na demu usimpende, be rude!! Kama kumpenda mpende kwa 20% tu...ukizidisha imekula kwako!!!

Halafu ukishamfanyia visa anachoka anakimbilia kwenye pumziko unakosa mwanamke akupendae kwa kuigiza ukatili!
 
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwi huyo mdada kwa avatar wako nampenda sijui ndio uchiz au mahaba tu
 
This might cheer you up homeboy. Some corny King's wisdom.

Hate to admit it, have me spendin' for a minute/
If you say you didn't get it, yeah, you can still get it/
You said all you want is love and affection/
Used to be my angel, then you started vexin'/
Took you out, bought you all kinds of things/
Then it got too high, and burned off your wings/

Up and down, the block with Dexter sayin' jock/
I ain't mad at ya, 'cuz the pimpin' don't stop/
I know the name of the game, my chick chose him/
It's nothin' to get knocked off, I'm feelin' all slim/
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom