Ni jumapili nyingine njema machoni pa Mungu wapendwa tunakumbushana maneno ya Mungu tukisoma kitabu cha kutoka Mungu alimuuliza musa unanini kwenye mkono wako? musa akasema nina fimbo, akamwambia yapige hayo maji yatawanyike, musa akafanya hivyo, tunajifunza kuwa Mungu anataka ujishughurishe ndipo atakubariki anasema nitakubariki shambani, nitakubariki mjini, nitakubariki utokapo, nitakubariki uingiapo, nitabariki kazi ya miko yenu, Mungu wetu anabariki wapendwa yeye niyeye yule jana na hata milele na baraka zake hazina majuto, anasema wamtumainiao yeye ni kama mlima wa sayuni hawatatikisika milele yote, niwatakie jpli njema na ibada njema!