Nimelazimiki kuwaza hivi kutokana na haya mapenzi kutusumbua vichwa, yani watu wazima na heshma zetu ni vipi tunateswa na mapenzi kiasi hiki?
Yani mtu unahangaika kutafuta hela kwa ajili ya mwanamke unatoka kazini umechoka, unafika nyumbani unakutana na mwanamke stres nyingi aa mi nachoka sasa.
Kali zaidi wakati naperuzi na kufuatilia mambo ya duniani nakutana na habari eti mke wa Obama kahama kitanda kisa mapenzi!
Hapo nikachoka kabisa