Bado nalia na Tanzania yangu

katusyo

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
1,455
430
Napata shida kwenye nchi ya watu biashara ndogo ambayo ningeweza nikaifanya tanzania na kuniingia kipato bila presha wala wasiwasi wowote, lakini kutokana na ugum wa maisha ya tanzania, na serikali kutokutuwezesha vijana tunasoma ajira hakuna, tunajitafutia maisha tunanyanyaswa, ndipo tunajaribu maisha nchi za watu ili tuweze kuitendea haki familia zetu, huku nako ni presha mwanzo mwisho, kidogo tu migration wamefika umekamatwa leo unaachiwa kwa usumbufu mwingi siku mbili tatu umekamatwa whway? kurudi nyumbani usumbufu uleule ah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom