Search results

  1. H

    Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    Hapa ni kama aliwakumbusha mawakili wa serikali : Hakimu: nimeombwa nizuie dhamana kwa maslahi ya Umma lkn kifungu 148 kinazuia kama DPP ataandika kwa certificate na sijaona certificate ya DPP na Rco sio DPP na kwa maana hiyo Rco hana mamlaka hiyo.
  2. H

    Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    Hapa ni kama aliwakumbsha mawakili wa serikali : Hakimu: nimeombwa nizuie dhamana kwa maslahi ya Umma lkn kifungu 148 kinazuia kama DPP ataandika kwa certificate na sijaona certificate ya DPP na Rco sio DPP na kwa maana hiyo Rco hana mamlaka hiyo.
  3. H

    Je, Kuna uhusiano gani kati ya udongo wa ulikozaliwa na kufanikiwa/kushindwa kwako?

    Unaambiwa ukienda safari chukua udongo wa sehemu unakoishi, ukifika uendako chukua udongo na changanya na udongo ulioenda nao, halafu weka maji na koroga kisha kunywa. Inaaminika ukifanya hivyo huwezi kuugua hovyo hovyo ukiwa safarini... Ila sijawahi kujua kama hili lina ukweli wowote
  4. H

    Serikali: Utaratibu wa uhakiki wa orodha ya malipo haucheleweshi mshahara

    una uhakika?? mwezi wa pili una 30/31?
  5. H

    Saed Kubenea Naye Atiwa Mbaroni Na Jeshi La polisi

    Jana nimemsikia makamu rais akili Shia kuvunja halmashauri ya tanga Jiji wakati huo huo anasema uchaguzi hautarudiwa kwa sababu ni gharama. Je wanataka kufanya nini??
  6. H

    Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

    Kunawiri na kupendeza na miguu kuwa ya bia kama ilikuwa ya bia inakuwa ya champaine
  7. H

    Marekani wazindua meli ya kivita yenye uwezo mkubwa zaidi ya zote duniani

    kuna jamaa alisema hawa wamarekani wanatamani magufuli awe rais wao...
  8. H

    Kikwete: Wanaokwepa Kodi hawataacha kirahisi, Magufuli endeleza mapambano

    "sijachomeka kitu kwa hiyo sina cha kuchomoa"
  9. H

    Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

    Unauliza kiumbe au kiumbe hai? hata Tanzanite ni kiumbe japokuwa sio kiumbe hai
  10. H

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Atakayeshindwa kihalali akubali matokeo... Atakayeibiwa kura asikubali
  11. H

    Maziwa fresh, Kiswahili chake ni nini?

    wewe umeandika maziwa fresh ila unataka neno moja. kwa nini? kwa maneno mawili ni maziwa yasiyohoshiwa
  12. H

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Kweli wew jamaa noma hujui hata kudannganya. Kwa hiyo unataka kusema muda huu hapa Kimara kuna jua kali linawaka?? labda kama sio Kimara ya dar es Salaam
  13. H

    Dhana ya Ukanda na madhara yake kwa Tanzania yetu, Kanda ya Kaskazini kuna nini?

    Kukusaidia tu ni kwamba mashindano yalikuwa yanaendeshwa kikanda jambo ambalo kwa uelewa wangu ni sawa. kwani hata serikali kuna wakati majukumu ya huyatekeleza kwa kanda. kwa upande wa Tanganyika zipo kaznda saba unaweza kuzitumia kwenye shughuli mbalimbali ikiwemo za utafiti. kanda zenyewe ni...
  14. H

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    tatizo ningetoka na panga ningehamasisha vurugu zaidi.. pengine walikuwa na visu mfukoni au mguu wakuku, labda walikuwa wanasubiri nilianzishe
Back
Top Bottom