Kuna wnaume wengine wana wivu wa Kike. (Benjamin Wiliam Mkapa, Lodi Lofa... au/laa Pius Msekwa)
CC LiverpoolFC
Kesho ni aibu tu, tumuone Lowassa ahutubie kama Magufuli.
Tutegemee kwaya na sauti za wachungaji.
Jografia ulipata ngapi? Maana hujui hata kuangalia kivuli cha picha na ukatambua ilipigwa muda gani.
Kweli wew jamaa noma hujui hata kudannganya. Kwa hiyo unataka kusema muda huu hapa Kimara kuna jua kali linawaka?? labda kama sio Kimara ya dar es Salaam
Mbona bado? Ikifika jioni nadhani zile 'battery' zitakua hazifanyi kazi tena.
Heheheee, inahuzunisha na kuchekesha pia.
Hii habari ya kutengenezwa ili kudivert attention ya jangwani leo. CCM ni wazuri kwenye propaganda
Jamaniiiiiiii! Sasa mimi nataka kuja saa 7 nitapata nafasi kweli?
Hebu tupiamo na kapicha mkuu nione hali ikoje.
Mgombea aongee hata nusu saaa
Dar es Salaam leo kuna dalili ya mvua kubwa kunyesha. Nauliza UKAWA wamefunga maturubai na mimi nije kwasababu siko tayari kunyeshewa na mvua kuwasikiliza kina Mbowe wakitunga uongo wa kumsafisha fisadi.
Usihofu mkuu, nafasi utapata maana naona upande wa Magharibi wametenga Special Zone kwa ajili ya kina mama/jinsia ya kike.
Kwenye zone hiyo kuna nafasi ila huku changanyikeni ukija saa 7 itakula kwako.
Kwa sisi wanaume tunakazi kidogo kupata eneo l;a kusimama leo.
Pumbavu!!!!! Bado mtavurugwa sana mwaka huu, mpigie simu "wapigwetu" aongeze vibuyu alete mvua manaake huko kwao naskia ndio kuna mvua zaajabuajabu.
Watu washafanya maombi nawanaendelea na Mungu.
Shame on you.
Toroka uje jangwani ujionee mpango wa Mungu.
si umesema upo karatu?sasa jangwani umefika saa ngap?
Dar es Salaam leo kuna dalili ya mvua kubwa kunyesha. Nauliza UKAWA wamefunga maturubai na mimi nije kwasababu siko tayari kunyeshewa na mvua kuwasikiliza kina Mbowe wakitunga uongo wa kumsafisha fisadi.
Mtachonga saaaaana mwishowe mtakubali na mtakoma na stowaangusha wenu,sasa ngojeni muanguke nae sjui nan atawainua.