lackg
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 641
- 268
Wanachama wamechoka na figisufigisu za Chadema.
Wanachama wa ccm ........
Wanachama wamechoka na figisufigisu za Chadema.
Kila mbinu inabuma. "Siku ya kufa nyani (ccm) miti yote huteleza"
hiyo picha wapo polisi au wapi??
vijana wenyewe wawili ndo waliandamana au?
walichezea kichapo toka wapi?
Watakaoanzisha machafuko ni wanaotakiwa kulinda amani so tutakutana kwa Fatuu bin Suda
Kuna kundi la watu wanaandamana nimepishana nao hapa Magomeni.Sijui walipoanzia ila naona wanaelekea Mkwajuni nahisi wanaelekea ofisi za CHADEMA.
Wanaimba nyimbo tunajitoa CHADEMA! Slaa kasema kweli!Jamani mliokuwa huko wanapoelekea mnaweza kutupa taarifa zaidi.
Updates:
Naona kuna wengine wanapita walioachwa na spid ya wale wanaokimbia hawa wanatembea tena kimyakimya.
Duuh! CCM wameishiwa,,,ila mi nafurahi, wazidi kumpa promo Lowassa,,,jana Lowassa kaonngeza wafuasi wengi
Hao waandamanaji wametokea ofisi ipi au tawi gani la Chadema?Maandamano kama hayo lazima yawe na starting point,
Labda huko kwenu lakini huku Arusha watu wameshafanya maamuzi kuhusu Lowasa,subiri aje halafu utaona hali itakavyokuwa,Slaa alikua ana wafuasi wengi wanaomuamini na jana amehama na watu wake
Hao ni wahuni tu wamepeleka kadi mbili CHADEMA makao makuu!!
Kadi zikapokelewa, wakaambiwa haya sasa nendeni tumepokea kadi zetu, wakasema hatuondoki tunamtaka Dr.W.Slaa; wakajibiwa nendeni nyumbani kwake hapa si kwake na sasa si mwanachama. Wakaleta fujo.
Reb Grigate ikachapa mateja hao na kuweka lock up wananne...