Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

.kwani hapa Mh Lema anakandamizwa na serikali au mahakama?

Tunatofautiana kwa hiyo sentensi. Mh Lema hajakandamizwa na yeyote si mahakama wala serikali. Anapitia katika taratibu za mahakama kwa shauri lake, kama mashauri mengine ya aina hiyo. Wapo watuhumiwa wengi waliombewa kunyimwa dhamana, mahakama ikakubali au ikakataa

TUACHANE NA MTIZAMO WA KISHABIKI
 
Hakimu alikubali kutoa dhamana akaomba dakika kumi baada ya kurudi akabatilisha uamuzi wake na kumnyima Lema Dhamana
 
Hakimu alikubali kutoa dhamana akaomba dakika kumi baada ya kurudi akabatilisha uamuzi wake na kumnyima Lema Dhamana
Hapa ni kama aliwakumbsha mawakili wa serikali : Hakimu: nimeombwa nizuie dhamana kwa maslahi ya Umma lkn kifungu 148 kinazuia kama DPP ataandika kwa certificate na sijaona certificate ya DPP na Rco sio DPP na kwa maana hiyo Rco hana mamlaka hiyo.
 
Hapa ni kama aliwakumbusha mawakili wa serikali : Hakimu: nimeombwa nizuie dhamana kwa maslahi ya Umma lkn kifungu 148 kinazuia kama DPP ataandika kwa certificate na sijaona certificate ya DPP na Rco sio DPP na kwa maana hiyo Rco hana mamlaka hiyo.
 
Hakika nimefurahi sana tena sana ngoja nipate kinywaji cha baridi...
Makamanda haki imetendeka...
 
Tunatofautiana kwa hiyo sentensi. Mh Lema hajakandamizwa na yeyote si mahakama wala serikali. Anapitia katika taratibu za mahakama kwa shauri lake, kama mashauri mengine ya aina hiyo. Wapo watuhumiwa wengi waliombewa kunyimwa dhamana, mahakama ikakubali au ikakataa

TUACHANE NA MTIZAMO WA KISHABIKI
Mkuu hivi ni visa tu mkasa wenyewe bado kwa sababu unacheza nje ya uwanja unadhani mi sipo kishabiki haya yaweza kumkumba yoyote Kaa nje ya ukingo ili utazame kwa uhuru

Mzalendo
 
fb_img_1478857054381-jpg.432463


Mambo mengine CHADEMA punguzeni usanii.Ashindwe kuzimia mkewe Lema azimie mtu baki!!! Acheni usanii.Cheki sura zimekaa kisanii zaidi.
Acha ujinga wewe tunatofautiana hisia,huoni leo bungeni wabunge wakilia lakini watoto wa marehemu wakitafakari.si lazima umwone akilia mke wake,huyo mama anaonyesha hisia zake kwamba mbunge wa mioyo ya wana arusha anaonewa na utawala huu uch.wa.ra
 
daaa hapa nacheza ule wimbo wa Saida chambua kama karanga......
 
Habari Wana Jamii Forum wote.

Hatma ya dhamana ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini God bless Lema itatolewa leo katika Mahakama Kuu kanda ya Arusha.

Mbunge huyo alipelekwa magereza baada ya kutoa majibazo ya kisheria mahakamani kati ya mawakili wa mbunge pamoja na mawakili upande wa serikali kuhusiana na sababu za kuzuia dhamana za Mbunge huyo

Mbunge huyo wa Arusha Mjini God bless Lema amefunguliwa kesi mbili za jinai ambazo zote ni za kutoa lugha ya uchochezi kwa Raisi John Pombe Magufuli.

Kesi yake inasimamiwa na jopo la Mawakili nguli wakiongozwa na John Mallya,Regold Nkya, Sheck Mfinanga, Charles Adiel.

Leo ijumaa hakimu ndiyo anatoa maamuzi either Lema apate dhamana au asipate.
Wananchi wote mnakaribishwa tujitokeza kwa wingi mahakamani ili kumtia moyo Mbunge .
======

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema ameshafikishwa katika viwanja vya mahakama kuu .
Atapandishwa kizimbani majira ya saa saba mchana.
Ulinzi ndani eneo la mahakama umeimarishwa sana
Zaidi ya wananchi 50 wamemzuia kuingia ndani eneo la mahakama na Jeshi la Polisi mpaka sasa
Mbunge wa Arumeru Joshua Nassari ameshawasili mahakamani
Kuna wananchi wamekamatwa na Jeshi la Polisi muda huu wanapelekwa kituo cha Polisi Central
Mama aliyekuwa anamuombea Mbunge Godbless Lema, akiwa amebebwa baada ya kupoteza fahamu
View attachment 432475
View attachment 432478.

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu amezuiwa kuingia mahakamani. Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro nae pia amezuiwa kuingia Mahakamani licha ya kuwa kwenye gari ya serikali. Lakini baada ya kelele za makamanda waliokua Mahakamani hapo hatimaye Mstahiki Meya ameruhusiwa kuingia.

Wakili wa serikali anasema Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia anasema mke wa Rais ni mgonjwa kwa sasa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais. Ameongeza kuwa Lema akiachiwa ataendeleza uchochezi na kwamba kubaki kwake ndani ni kwa usalama wa kwake na taifa.

Kesi inaendelea kusikilizwa na Hakimu Kamugisha, na inategemewa haki itatendeka na Lema kupewa dhamana. Tuendelee kusubiri.!

===>>Hakimu ameshaingia tayari
===>>Mawakili wanajitambulisha.
===>>Mabishano ya wanasheria yanaendelea
===>>Naona hakimu anaelezea vifungu na mifano ya kesi.
===>> Hakimu anataka kutoa ruling
===>> Hakimu anasema. Malya amemshawishi asisikilize hoja za hawa mitume
===>> Hakimu. Dhamana ni haki ya mtuhumiwa kikatiba. Ibara ya 17 inaruhusu
===>> Hakimu
Na kabla mtuhumiwa hajakutwa na hatia anahaki ya kupewa dhamana
===>> Hakimu:sheria inakataza kumnyima mtu dhamana kwa kuwa alikuwa Chini ya dhamana. Hii ni sheria ya 1991. Kwa Maneno mepesi bunge letu ni bunge la busara Hivyo walioamua iondolewe. Na sijaona kokote inakozuia dhamana.
===>> Hakimu; sheria ya jinai kifungu 148 c mshtakiwa atanyimwa dhamana kama angekiuka masharti ya dhamana au kukimbia. Na kuna vifungu vya lazima kwamba mshtakiwa anapaswa kusurender passport au hat I za kusafiria au Mahakama ikarestrict maeneo ya kutembelea mfano eneo la kijiji n.k
==>> Hakimu: Mahakama hii haikutoa masharti kuwa mshtakiwa asifanye kosa Wala hakuzuiliwa kufanya Mikutano ya hadhara
==>>
Hakimu: Kwamba mshtakiwa asipewe dhamana kwa usalama wake what are the tests?? Sio tu kusema ni kwa usalama wake sheria inataka useme kwa Hakika kwa ni lazima?? Na hiyo test sio hoja yangu ni test ya high court ref case ya Athuman Mahumba vs Jamhuri
==>> Hakimu
Anataja mambo ambayo yanaweza kufanywa ili kumbana mshtakiwa,sio kumnyima dhamana ni mengi kama kumlimit safari zake,kumnyanganya passport na sio kumkataza mikutano.
==>>
Hakimu: hakuna kinachoonesha usalama wa mshtakiwa Uko hatari kwa iyo ni muhimu kumzuia asipate dhamana na kuendelea kukaa kuzuizini
==>>
Hakimu: nimeombwa nizuie dhamana kwa maslahi ya Umma lkn kifungu 148 kinazuia kama DPP ataandika kwa certificate na sijaona certificate ya DPP na Rco sio DPP na kwa maana hiyo Rco hana mamlaka hiyo.
Hivyo; pingamizi la dhamana linapuulizia mbali
==>>
==>>Hivyo nampa mshtakiwa dhamana kwa masharti nitayoelekeza hapo baadaye ==Hakimu

Sasa wanasheria upande wa Serikali wanasema wanakata rufaa kwa maamuzi hayo.
==>>Hakimu amekataa hoja za mwanasheria wa serikali

==>> Bado anaendelea lakini hakimu kasisitiza maamuzi yake yako pale pale
==>>Bado wakili wa Serikali anaendelea kutoa maelezo yake hata simuelewi.
Hata aeleweki ana rejea rejea makesi yake ila I think he won't change anything.
==>>Baada ya maamuzi ya hakimu wanasheria wa serikali waliotoa baadhi ya cases ili kuifunga Mahakama hii mikono kusitisha uamuzi wake wa dhamana.. so kaombwa dakika 10 aje of which zimeisha
==>>Hakimu: Godbles J. Lema Baada ya hoja za Serikali na kwa maelezo ya Mwanasheria wa serikali. Na kwa maelezo ya kifungu 379 appeal inakuwa instituted na appel ya DPP.
==>>Hakimu: Kwa maelezo hayo DPP ambaye amewakilishwa hapa, Sasa kwa maana kwa hiyo nimekataa dhamana.
==>>Hakimu alikubali kutoa dhamana akaomba dakika kumi baada ya kurudi akabatilisha uamuzi wake na kumnyima Lema Dhamana
Tatizo lenu mnaripoti kiunaa. Si unaona sasa?
 
Hakuna haki mkuu!
Tuishi na dhamira ya ukweli wa dhati na kuheshimu mahakama. Hakimu/jaji ni binadamu kama Mh Lema.

Kama Mh Lema anaweza kumwombea binadamu mwenzake mabaya, vivyo hivyo naye atagemee kuombewa mabaya na binadamu kama yeye.

MAISHA NI KAMA MSUMENO -"tit for tat" wamenena wenzetu
 
Ndio maana viongozi wa ccm wanakufa kwa magonjwa ya ajabu pamoja na kua na pesa zote,Mungu anawapiga mapigo ya kutotenda haki
 
Back
Top Bottom