Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

Zile dakika kumi zilizoombwa na hakimu ndo zimemnyima Lema dhamana.Kwa hiyo kesi imepangwa kuendelea lini tena?
 
Hivi tunatakiwa tumpende au tuiiheshimu ofisi ya raisa na uraisi kama taasisi, sio lazima kumpenda mtu hata kama ni ana cheo gani.
 
Hapa ni kama aliwakumbusha mawakili wa serikali : Hakimu: nimeombwa nizuie dhamana kwa maslahi ya Umma lkn kifungu 148 kinazuia kama DPP ataandika kwa certificate na sijaona certificate ya DPP na Rco sio DPP na kwa maana hiyo Rco hana mamlaka hiyo.
Hakimu alikuwa anajivua kimtindo. !
 
Zile dakika kumi zilizoombwa na hakimu ndo zimemnyima Lema dhamana.Kwa hiyo kesi imepangwa kuendelea lini tena?
.
Wale tuliodhani mahakama zetu zipo huru na zinatoa haki tumekua tukijidanganya mda wote huo. Ona sasa hakimu kwa tafsiri za kisheria kutoa haki kaiona haki ila katolewa kwenye kiti kwenda kupokea maagizo . Na karudi akiwa tayari keshafungwa pazia jeusi usoni.
Mungu pekee mwenye kutoa haki yaangalie haya!!
 
Mahaka imemnyima dhamana mbunge wa Arusha mjini mh Lema kwa kigezo cha kwamba serikali inafikilia kukata rufaa mahakama kuu.

Kwa iyo mh lema ataendelea kuwa mahabusu mpaka apo rufaa itakapo sikilizwa na mahakama kuu

Hali iko ivi mahakamaniView attachment 432582
1478871461558.jpg
1478871515397.jpg
 
Huyu Lema nakumbuka kuna kipindi aliomba arudishwe rumande, safari hii haombi kurudishwa huko? Na vipi, bado amefunga kula?
 
Back
Top Bottom