Serikali: Utaratibu wa uhakiki wa orodha ya malipo haucheleweshi mshahara

Halafu bavicha ndiyo walikuwa wanaongoza kwa upotoshaji huu.
jamani naombeni msaada, Mimi nmehamia halmashauri nyingine na katika uhakiki huu inaonekana jina language bado linatokea ile halmashauri niliyohama, he nami nitaonekana mfanyakazi hewa? he kule kama wamenijazia nmehama na bado hawajahamisha mshahara wangu nitaondolewa kwenye payral
 
SERIKALI YETU HASA RAIS WETU MAGUFULI BINAFSI NINA IMANI SANA NA WEWE TUNAKUOMBA UTULIPE MADENI YETU WAFANYAKAZI WAKO. TUJALI KWA KUTUWEKEA ANGALAU KARATION 100000 KATIKATI YA MWEZI HASA WALIMU WAKO. ULIKUWA MWALIMU NA UNAFAHAMU HALI HALISI NA CHANGAMOTO ZA TAIFA HILI KUHUSU WALIMU. TAFADHALI IFANYE KADA HII IWE NA HADHI KWA KUWAONGEZEA MASLAHI WALIMU WA TZ.
 
Kwani kuna ubaya iwapo itachelewa ili kufanya uhakiki??? Pia stahili ya mtu kulipwa mshahara ni tarehe ngapi? Kwa uelewa wangu stahili ya mtu kupokea mshahara ni tarehe 30/31 iwapo watu walikuwa wanapokea tarehe 21, 22, 23 huo ulikuwa ni upendeleo wala si haki. Haki kulipwa mshahara inakuwepo mwishoni mwa mwezi.
una uhakika?? mwezi wa pili una 30/31?
 
Kwani kuna ubaya iwapo itachelewa ili kufanya uhakiki??? Pia stahili ya mtu kulipwa mshahara ni tarehe ngapi? Kwa uelewa wangu stahili ya mtu kupokea mshahara ni tarehe 30/31 iwapo watu walikuwa wanapokea tarehe 21, 22, 23 huo ulikuwa ni upendeleo wala si haki. Haki kulipwa mshahara inakuwepo mwishoni mwa mwezi.
 
Unajua mshahara mara nyingi ni siku 30 tangu tarehe iliyopita. Hivyo kama muhusika alipata Mshahara trh 23-mwezi uliopita, mwezi unaofuata ukipewa trh 26, tayari hapo ni siku 33, na kwa mtu aliyejiwekea hesabu za siku 30 hapo itamyumbisha tu
Nimekuelewa kiongozi!. Hapo wakidai watakuwa wapo sawa kumbe, ngoja mheshimiwa "Umeitendea nini Serikali" aje warekebishie mizigo yao
 
Unajua mshahara mara nyingi ni siku 30 tangu tarehe iliyopita. Hivyo kama muhusika alipata Mshahara trh 23-mwezi uliopita, mwezi unaofuata ukipewa trh 26, tayari hapo ni siku 33, na kwa mtu aliyejiwekea hesabu za siku 30 hapo itamyumbisha tu
Ataelewa wapi huyo mambo ya mishahara wkt anasubiri ugali wa shikamoo home.
 
Back
Top Bottom