Marekani wazindua meli ya kivita yenye uwezo mkubwa zaidi ya zote duniani

Tatizo la marekani wanachonga Sana wakati wenzao in wazee wa kimya kimya ....wiki iliyopita wali jam network said nato ......

Urusi wana silaha nyingi Sana ambazo hata hazijazinduliwa ..
 
huu uongo mje muache kuandika.

nani aliyethibitisha kuwa uwezo wa meli zingine zote ni mdogo?

kwenye maelezo wameandika vizuri kuwa hii ni meli ya pekee na bora kuwahi kutengenezwa na jeshi la marekani.

habari ya kutuambia kuliko zote duniani wakati hakuna mashindano yamefanyika na hapohapo swala la silaha ni siri kubwa kwa kila taifa hasa uwezo wa silaha zake.

mrusi huwa haropoki hivi na ana silaha pia lakini nani wa kuthibisha hii ni bora kuliko ile wakati silaha zingine hata kuonyeshwa hadharani hairuhusiwi na inabakia siri kubwa ya taifa.
 
Zumwalt ni kali,actually ni kama mashindano ya silaha yako on,UK nao wanamalia supercarrier yao ambayo itakuwa ya kisasa kuliko zote:huku warusi nao wanaitest ndege yao mpya na kali zaidi T-50,na pia kunda ndege kubwa kabisa ya kubebea wanajeshi na vifaru vyao nayo iko kwenye pipeline
 
Tatizo la marekani wanachonga Sana wakati wenzao in wazee wa kimya kimya ....wiki iliyopita wali jam network said nato ......

Urusi wana silaha nyingi Sana ambazo hata hazijazinduliwa ..

Unajua kama gani? Mbona unadhani US pia hawana silaha nyingi tu za siri. Ndio maana Russi na China wameshinda wakijaribu kudukua computer systems za serikali za Merikani ili kuiba siri zao.
The US tops them all!
 
USS Zumwalt(DDG-1000). is aguided missile destroyer of the United States Navy.
She is the lead ship of the Zumwalt classand the first ship to be named for Admiral Elmo Zumwalt.Zumwal thas stealth capabilities, having a radar cross-sectionakin to a fishing boat despite her large size.On December 7, 2015,Zumwaltbegan its sea trial preparatory to joining the fleet.
 
Yet it is still astonishing how much the world at large spends on armors than on normal peaceful projects. 8.0 million Ethiopians are on verge of starving to death because of prolonged drought brought about by world wide climate change. Why USA shouldn't spend a few to save mankind than that whole lot for a destroyer ?
Si wanatumia pesa za walipa kodi wao??
 
Naona mchina anainyemelea atoe kama hii, yetu macho
1449668183935.jpg
 
Yet it is still astonishing how much the world at large spends on armors than on normal peaceful projects. 8.0 million Ethiopians are on verge of starving to death because of prolonged drought brought about by world wide climate change. Why USA shouldn't spend a few to save mankind than that whole lot for a destroyer ?
But it might not be surprising to see the Prime Minister of Ethiopia buying a presidential jet worth of mojey equivalent to feed for domr years the starving citizen or in short lavish spending
 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Eisenhower when delivering his speech THE ATOMS FOR PEACE warned America of Industrial Military complex. In case you don't know Dwight was a staunch anti-communist and a war veteran.

The US revealed it now so as to boost the shrinking morale of the Neo-cons and Warhawks in the DC and the Pentagon; especially after their failed blunder in SYRIA, IRAQ and TURKEY.
Gunboat diplomacy.

The funniest thing is that more of American Tax Payers money is flooded into military industry while the state of social welfare is in decline. Unlike any time in history American housing sector is shrinking; most of young Americans struggle to roof the house. And if you ask many who have them, they own houses through probate.

As Professor Emmanuel Todd once said in 1976 that the Soviet Union will collapse due to rapid militarisation and population decline, so did it happen. At this time many Soviets took it for granted.
Yes, they were leading in Space technology (Sputniks) were in space, they invented the MiG aircraft and on top of all they Contained the US influence in the Far East. Their EGO was high.

But only twenty years later we all know what happened; Until now its just a sad story ever told. And the Russians cannot blame that on American or the Cold war.
Soon or later this game will get worse.

Unlike the 60's and 70's the Iron-wedge of bipolarity is gone. No more East and West blocs, the military race is not against Russia anymore. China is a new menace in the house. Wars become more and more un-favourable around the world to whom are you going to sell M 16 or AK 47? Maybe in Africa ,Syria or Saudi.

America will soon be exhausted,
they patrol the European Union.
they patrol the Eurasia.
they patrol the The Far East.
they patrol Africa with the hope of shaking off the Chinese influence.
And worse of all they are trying to tame CHINA( Words Second largest economy and their largest investment partner).

Taking the level of their public debt, they can't fight the whole world.
They must focus much on their domestic problems.

#MAKELOVENOTWAR
MK254, Dotworld,
 
Last edited by a moderator:
huu uongo mje muache kuandika.

nani aliyethibitisha kuwa uwezo wa meli zingine zote ni mdogo?

kwenye maelezo wameandika vizuri kuwa hii ni meli ya pekee na bora kuwahi kutengenezwa na jeshi la marekani.

habari ya kutuambia kuliko zote duniani wakati hakuna mashindano yamefanyika na hapohapo swala la silaha ni siri kubwa kwa kila taifa hasa uwezo wa silaha zake.

mrusi huwa haropoki hivi na ana silaha pia lakini nani wa kuthibisha hii ni bora kuliko ile wakati silaha zingine hata kuonyeshwa hadharani hairuhusiwi na inabakia siri kubwa ya taifa.

Hata me nashangaa meli yenye uwezo kupita zote duniani ? Duh
 
Yet it is still astonishing how much the world at large spends on armors than on normal peaceful projects. 8.0 million Ethiopians are on verge of starving to death because of prolonged drought brought about by world wide climate change. Why USA shouldn't spend a few to save mankind than that whole lot for a destroyer ?

they have money for war but they cant feed the poor-tupac
 
Huku hata ukipiga picha bastola ya JWTZ shida.

marekani hadi gari la rais (cadilac one) pamoja na manjonjo yake yote limewekwa kwenye mtandao kama lilivyo...ckeki hapo chini
attachment.php
 
Attachments

  • cadilac 1 2.jpg
    cadilac 1 2.jpg
    88 KB · Views: 999
Back
Top Bottom