Search results

  1. Profesy

    Kuhusu Kura Ya Wazi au Kura Ya Siri!

    Baada ya msuguano wa #Posho, Bunge letu maalum la Katiba limepoteza karibu wiki nyingine nzima kubishana kuhusu uamuzi wa kuwa na Kura ya Wazi au Kura ya Siri. Tayari wiki mbili zimepita la Bunge la siku 70 (wiki 7) lakini yaliofanyika ni majadiliano ya Posho na hili la kura.Hili linatuonyesha...
  2. Profesy

    (VIDEO) Hawa wezi wa side mirror Dar wamezidi!

    Cheki huyu hapa alivyoshughulikiwa... ONYO! Graphic Video. Naomba msamaha kwa yeyote ambaye VIDEO hii itamkwaza kwa namna moja ama nyingine. Kuangalia tukio nzima bofya kwenye link hii hapa. Profesy's Version: Graphic Video: Mwizi wa Side Mirror akipewa kichapo!
  3. Profesy

    Wakwepa kodi hawa hapa!

    Cheki wakwepa kodi hawa hapa. Ripoti imeandaliwa na Tanzania Episcopal Conference (TEC) National Muslim Council of Tanzania (BAKWATA) na Christian Council of Tanzania (CCT) Select examples of the use of tax havens by TNCs operating in Tanzania Vodacom Vodacom Tanzania Ltd has a 42 per cent...
  4. Profesy

    Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

    Cable Viewer Fuata link hiyo hapo juu ================ Inayoshtua ni hii: Lakini Ikulu imetoa ufafanuzi huu: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/169835-tanzania-denies-president-bribe-claims-in-u-s-cable.html
  5. Profesy

    Hii Nchi kazi kuuzwa tu... Au mnaonaje wakuu

    John Vidal and Claire Provost guardian.co.uk, Wednesday 8 June 2011 20.18 BST larger | smaller US universities are reportedly using endowment funds to make deals that may force thousands from their land in Africa. Photograph: Boston Globe via Getty Images Harvard and other major American...
  6. Profesy

    Wakuu hapa vipi na uzushi huu wa sirikali?

    Tanzania MPs to block $20m payment to Indian firm Share Bookmark Print Email Rating A railway engine belonging to the Tanzania Railways. Photo/FILE By MIKE MANDE Posted Monday, May 9 2011 at 00:00...
  7. Profesy

    Ya Iringa Haya hapa

    Wakuu sijui wangapi waliangalia taarifa ya habari jana kwenye ITV lakini kinachoendelea Iringa ndio hii hapa baada ya matatizo ya maji huko. Eti huyu jamaa alikua hataki watu wachote maji kwa hio akamwaga mafuta (crude oil) ndani ya kisima.
  8. Profesy

    WORLD AIDS DAY - Virus created in a LAB

    WAS AIDS MAN-MADE? by Eric Taylor ewwtaylor@adelphia.net PITTSBURGH Brotherly Lovers Of Original Democracy, founded 1994 in Philadelphia to spearhead a class action lawsuit against Uncle Sam for bio-enginering AIDS, has collected over 3,000 signatures from all 50 United States. Witnessing...
  9. Profesy

    Elections 2010 CONFIRMED: Karatu watangaza matokeo, CHADEMA yalikomboa!

    Taarifa kutoka karatu ni kwamba pastor israel ameshinda jimbo la karatu mjini chadema - 46 000+ ccm - 20 000 +
  10. Profesy

    Elections 2010 Jimbo la Hai (kituo kimoja)

    URAIS: CHADEMA - 77; CCM - 55. UBUNGE: CHADEMA - 95; CCM - 39.
  11. Profesy

    Elections 2010 Hapo TSJ (Kawe seat) so far matokeo ni hivi

    JK - 101 SLAA - 79 MBUNGE MDEE - CHADEMA - 80 KIZIGHA - CCM - 79 MBATIA - NCCR - 4 DIWANI CCM - 117 CHADEMA - 50
  12. Profesy

    Angalia uzushi wa DailyNnews. Wameanza tena...

    Wakuu hivi hawa daily news wanashida gani na slaa? Someni hii story.
  13. Profesy

    Elections 2010 Hivi Hapa KIKWETE ana maana gani. WHERE IS TAKUKURU?

    source - Habari Leo Kikwete aahidi kutokomeza malaria kwa kuua mbu kila nyumba Imeandikwa na Mgaya Kingoba, Musoma; Tarehe: 26th September 2010 MKOA wa Mara utaanza kampeni ya kunyunyizia dawa ya kuua mbu katika nyumba zake zote kuanzia Oktoba mosi, mwaka huu katika jitihada za serikali...
  14. Profesy

    Elections 2010 Wafuasi wa CCM wadaiwa kumpiga mwandishi wa Mwananchi

    Habari nilizoona kwenye Taarifa ya habari ni kwamba eti kuna mwandishi wa habari ambaye amepigwa na Wafuasi wa CCM kule Kwimba wakati wa kampeni zao. Nani labda ana habari zaidi?
  15. Profesy

    Elections 2010 Polisi wakabidhiwa mbinu za kuiangusha Chadema

    Hii ndio title ya story iliokuepo jana kwenye Mwananchi ikawa inaelezea video moja inaonyesha vikao vya kisiri vinavyofanywa na CCM kupanga mikakati ya kushinda kwa njia yeyote hata kwa kumwaga damu pamoja na silaha walizoagiza na nyaraka za siri zilizochapishwa kwenye karatasi za mikakati hiyo...
  16. Profesy

    Elections 2010 Slaa achaguliwe tu mwaka huu. Cheki contribution yake.

    Wazee angaliene Ni watu gani walikua wana contribute bungeni...
  17. Profesy

    Osama is dead - do you think so?

    Wazee cheki mama Bhutto alivyokua hai akawaambia Al Jazeera kumbe kwamba Bin Laden tayari amefariki. Kwa hio hizo kanda wanazotutangazia kwenye BBC na CNN inawezekana ni uzushi tu. Amueni wenyewe...
  18. Profesy

    Mkoloni akimbizwa hospitali

    Wadau nasikia kwamba Mkoloni ameharakishwa Hospitali baada ya kula mtori. Aise Ni game chafu nini?
Back
Top Bottom