Search results

  1. Galamtogela

    Historia ya Tuntemeke Sanga

    HISTORIA YA TUNTEMEKE SANGA MBUNGE WA ZAMANI WA MAKETE. Tarehe 8 Desemba 1930 huko Lupaso, kijiji cha Bulongwa, Njombe, alizaliwa mtoto wa kiume mwenye afya tele. Mtoto huyo, ambaye alikuja kuweka historia ya kipekee nchini, si mwingine bali ni TUNTEMEKE MESAKA NNUNG`WA SANGA. Wazazi wake...
  2. Galamtogela

    kwa walio angalia kipindi cha morning trampet leo asubuhi ktk king'amuzi cha AZAM,

    mtangaji wake alionesha sijui ni uzalendo au hofu kashindwa kusoma maelezo katika uchambuzi wa vichwa vya habari mmagazetini jina la bosi wake yaani SSB kuwa nae amekwepa kulipa kodi ,hii imekaaje wadau?
  3. Galamtogela

    Ukitaka kumjua kama mtoto wako atakujakuwa mwanasiasa

    Mama mmoja na mumewe walitaka kujua kama mtoto wao anapenda sana nini kati ya uanasiasa,ufanyabiashara au upadri.. Ikawa hivi. Waliweka chini ya mlango biblia,note harari ya elfu 10 pamoja na chupa bia iliyokuwa haijafunguliwa. Mtoto wao alivyofika alivikuta vile vitu . Alifanya yafuatayo...
  4. Galamtogela

    Hivi jamani nini maana ya uvaaji wa pete kwenye vidore

    Watu wamavaa tu pete bila kujua maana zake kutoka kidore kidogo mpaka kidole kikubwa cha mkononi je naweza kufahamishwa maana ya kidore kimoja baada ya kingine .
  5. Galamtogela

    Msaada wa kujua wapi nitapata kemikali za printing Dar es Salaam

    Wadau ninaomba msaada wa kupajua wapi panapouzwa kemikali za kuprintia (printing) mfano MESH WIRE, PHOTO-EMUSION & INK, jijini Dar es salaam. Kama nitajuzwa na gharama zake nitashukuru.
  6. Galamtogela

    Hivi jina ulilopewa na wazazi/walezi unalipenda?

    kuna watu wanawapa watoto wao majina kutoka makabila yao au yenye uhusiano na dini zao .lakini je jina ulilopewa na wazazi/walezi wako unalipenda au ipo haja ya kubadilisha .sikusudii zile A.k.a kama wanavyojiita wenyewe.hapa ni yale majina rasimi .
  7. Galamtogela

    Ajari huwa zinatokea kwa uzembe kama huu

    Ivi trafik mpo kweli au mpo likizo .hapa ni songea -mshangano stendi
  8. Galamtogela

    Msaada wa ufafanuzi kuhusu wanafunzi walioomba kujiunga na vyuo vya afya

    Hivi wanafunzi wanaoomba kujiunga na vyou vya afisa pia wanafanya on-line registration katika mfumo wa central addimission system.au inakuwaje majina ya waliochaguliwa yanatolewa kwenye website ya wizara au inakuwaje?naombeni msaada jamani
  9. Galamtogela

    Tukumbushane wababe waliotikisa mkoa wa Iringa miaka ya 90's

    Binafsi namkumbuka jamaa mmoja alikuwa anajiita COOL NINE .jamaa alikuwa gumzo iringa nzima kwa ubabe .lakini kuna siku alikutana na mzee mmoja mwindaji pale maeneo ya mkwawa kwa sasa ndio university Muce baada ya mzozo jule mzee alipiga risasi ya mkononi na kumvunja mkono.lakini bado ubabe...
  10. Galamtogela

    Soma mchezo huu"Pindua nikupindue"

    Mapinduzi ya mwanzo Africa -congo kinshasa 15 sept 1960 Siku 13 tangu nchi ipate uhuru kutoka kwa waberigiji . Patrice lumumba (waziri mkuu) alipinduliwa na hasimu yake Rais joseph kasavubu. Rais joseph kasavubu alipinduliwa na joseph Désiré Mobutu . Raisi Mobutu kwa mkwara mkubwa baada ya...
  11. Galamtogela

    Jamani kilimo kwanza au kilimo mwisho?

    Avocado was one of the products that most Tanzanias are exporting to Dubai and preferred in the market in companies with avocado from her competitor which is kenya ."despite this advantage Tanzania is not able to su pply the market with avocado throughout the year"our friend kenya have made it...
  12. Galamtogela

    Hivi ni jiji gani ni ghali kuishi hapa duniani?

    Jiji la Moscow, Urusi ndilo linalosadikiwa kuwa ni ghalama sana kuishi hapa duniani kwa kuwa linasadikiwa kukaliwa na mabilione wa dunia hii kama sita . Je kwa Tanzania ni jiji gani rahisi kuishi na lipi ni gumu kuishi ?na kwa sababu gani ?Kama unataarifa zaidi tujuze.
  13. Galamtogela

    Kwa wale tuliosoma Tumekuja high school pale zanzibar mpo?

    Nadhani mnamkumbuka Headminstrees Bi mgeni? Sijui yupo wapi. Nadhani maesha staafu . Kwa wanafunzi mnamkumbuka Cary max?
  14. Galamtogela

    Anaomba ushauri: Kasomeshwa kaka yake kabisa sasa anadaiwa pesa alizoghalamikiwa

    Duh hii kali ya mwaka, jamaa amemsomesha dada yake kutoka o-level hadi chuo kikuu hatimaye kapata kazi. Sasa brother wake kambadilika dada yake anataka alipwe pesa zake zote. Yeye kielimu hakufika kifupi alishia form 2 . Ameshaomba msamaha kwa kaka yake kama kamkosea kitu aseme,kaka...
  15. Galamtogela

    Kweli Tz kubwa sana. Uwewahi kufika wilaya ya Mbinga

    Ukifika ni mahari panapo ibukia kimaendeleo .kuna kahawa kwa wingi kama zao la kibiashara .nauli kutoka songea ni tsh 4500/= shida ya huku ni moja uchawi yaani sayansi ya kiafrika nawo wamo huku wanashinda na majirani zao wapya wilaya mpya ya nyasa .visa ni vingi vya nduma . Barabara JK...
  16. Galamtogela

    Unaijua hospitali ya mission Peramiho Songea

    Hii ni hospitar kumbwa sana hapa mkoani RUVUMA ipo mbali kidogo na mji wa songea .hospitali ni nzuri sana kimajengo pia huduma zake ni mzuri shida ya hapa ni msongamano wa watu huduma zinaenda pole pole sana tokd asubuhi saa 2 unarudi saa 10 jioni.kama kawaida ukitaka kuwahi kuondoka vaa shati...
  17. Galamtogela

    Jikumbushe Mapinduzi CONGO DRC

    1. Mapinduzi ya mwanzo Afrika ni CONGO-KINSHASA .Tar 15 sept 1960 siku 13 tangu nchi hiyo ipate uhuru.ambapo Patrice lumumba (waziri mkuu) alipinduliwa na hasimu yake raisi Joseph kasavubu. 2.Rais Joseph kasavubu alipinduliwa na Joseph Désiré Mobutu 3. Joseph Désiré Mobutu alijibadilisha...
  18. Galamtogela

    Jamani nani amengalia taalifa ya habari star tv muda huu. Haya ni mauaji ya kutisha sana.

    Mtoto mdogo auwawa na baba yake kisa ugomvi na mkewe maeneo ya makorongoni mjini iringa .mara baada ya kumfukuza mkewe amshushie kipigo akamkosa then akarudi nyumbani na kumkuta mtoto wake amelala na kumnyonga shingo na kumuuwa hapo hapo.duh umnyama ulioje? Kweli wanyalu tumezidi asila.
  19. Galamtogela

    Hivi ni kweli magaidi wanajitoa mhanga kweli?

    Napata wakati mgumu kuamini kweli hawa wanaoitwa terrorist wanajitoa mhanga kwa kuvaa vilipuzi yaani mabomu na kuua mamia ya watu wasio na hatia .kama ilivyotokea Westgate (kenya) .binafsi na nakubali ile mbinu ya kuliterekeza bomu kwenye gari kisha likalipuka na kuuwa mamia ya watu. Nasema...
Back
Top Bottom