Kweli Tz kubwa sana. Uwewahi kufika wilaya ya Mbinga

Galamtogela

Senior Member
Aug 25, 2013
101
195
Ukifika ni mahari panapo ibukia kimaendeleo .kuna kahawa kwa wingi kama zao la kibiashara .nauli kutoka songea ni tsh 4500/= shida ya huku ni moja uchawi yaani sayansi ya kiafrika nawo wamo huku wanashinda na majirani zao wapya wilaya mpya ya nyasa .visa ni vingi vya nduma . Barabara JK amekwahuku amejitahidi ipo kampuni ya kichina ndio wanamaliza inaitwa SYNOHYDRO. Watu wa huku wanapiga pombe., balaaa kitimoto ni kama mbuzi tu .karibu ni mbinga
 
Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,241
2,000

Kuna wakti nikiwa safari nilikutana na mtu m1 anasoma shule moja nje ya nchi akanidokeza kuwa licha ya nchi kuwa na vivutio vingi watz wengi (hata wasomi) tuna tatizo la kushindwa kuelezea kwa ufasaha historia na uzuri wa nchi yetu. Kwa sredi hii naanza kuamini ni kweli, huyu kaenda huko (na pengine huko ndo kwa bibi na babu yake) alochokiona yy ni pombe na uchawi TU!!

Kumbaff kabsa....!
 
Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
0

Soma vizuri thread mzee! Kakwambia kuna ulabu na mbuzi katoliki pia!
 
Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,391
2,000
Nimefika Ukata na Kipololo da ni Landrover tu zinahimili. Huko shemeji na Binamu hawamwachii mtu, ni halali.

Wana na wimbo huu.,,,

Ninapotaka mimi ni hapo tu X2 tarirari ... ...!

Mhesh Komba anaufahmu sana
 
kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,174
0
Acha kuitukana Mbinga yetu wewe! Wangekuwa wanaabudu uchawi unaosema si wangeaanza kukuchawia wewe na usingepata hata muda wa kuandika huu ni upuuzi wako.

Shuka kule bondeni Nyasa upite milima ya Ambrosi ndo utaona jinsi Wilaya hizi mbili zilivyotunukiwa na Mwenyezi MUNGU.
 
Tujumwiche

Member
Apr 27, 2012
8
20
mbona hujasema ni moja kati ya wilaya TZ zinazo ongoza kwa mapato? The only difference with K'njaro is that there is umeme in villages-
 
Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,241
2,000
Kuna vi2 vingi vya kuvutia 1.majina ya maeneo ni burudani tosha-km ni mgeni uliza watu sio wachoyo huko! Watakutajia!
2.km ni mara yako kwanza, njia ya kutoka songea mjini kuelekea huko ina mlima wa udongo mwekundu-unajua jina la mahali hapo? umeuliza jina lake? Unajua inapakana na mtaa gani? 3. Huo mkeka wa kutoka hapo songea mjini-je kwa ww ni wa kawaida huo? Unafanana na mkeka gani hapa nchini?
4,nenda katazame ngoma za huko...Acha porojo jaribu kudadisi vitu km hivi afu lete ripoti hapa. Sio mambo ya ajabuajabu mara uchawi mara sijui pombe....
 
lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,498
0
Du huko mbinga ni balaa nasikia mgeni akienda kusalimu ni wakarimu mno wanakuja kukusabahi na kuku utakula kuku mpaka ukinai ila jamaa wanapuliza hataree yaani wachawi hadi watoto wanaona fahari kurith hiyo kitu
 
BOOS

JF-Expert Member
Aug 8, 2017
216
250
Ni sehemu yenye baridi balaa
Baridi la huko si baya kama unavyofikiri.hiv umewah kufikiria faida za kuishi sehem zenye baridi? Wadudu kama mbu au nzi n.k ni wachache,unaweza fanya kazi bila kuchoka upesi,kutokuvuja majasho na mengineyo.mimi nashangaa sana watu wanaocheka binadamu wenzao waliochagua kuishi sehem za barid.hiv unajua mikoa mingi yenye barid tanzania ndio yenye maendeleo?
 
Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,305
2,000
Ukifika ni mahari panapo ibukia kimaendeleo .kuna kahawa kwa wingi kama zao la kibiashara .nauli kutoka songea ni tsh 4500/= shida ya huku ni moja uchawi yaani sayansi ya kiafrika nawo wamo huku wanashinda na majirani zao wapya wilaya mpya ya nyasa .visa ni vingi vya nduma . Barabara JK amekwahuku amejitahidi ipo kampuni ya kichina ndio wanamaliza inaitwa SYNOHYDRO. Watu wa huku wanapiga pombe., balaaa kitimoto ni kama mbuzi tu .karibu ni mbinga
Tuanzie Kigonsela kunakolimwa Mahindi na ile nyama ya Kima umesahau
Mbinga mjini kuna Kiwanda cha Kahawa na Kile chuo cha Ualimu
Hospitali ya Litembo ni pazuri sana pale juu
Mpitimbi nk
Wilaya yako pia ina baadhi ya vyakula adimu km ile mizizi mnachimba inafanana na viazi na wadudu fulani mnatoa kwenye vichuguu
Kiujumla ninyi hamna njaa.
Nakumbuka kila shamba la mmatengo ana mashine ya kusaga na mando moja nje
Sijasahau huko kitimoti mnakula hambakishi kitu hadi kisusio chake mnapiga

Habali ja lelo..Inyae
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,242
2,000
Nimewahi kufika huko umenikumbusha mrembo mmoja wa kinyamwezi mwenye nywele za singa. Alikuja mujini kununua viungo vya pilau kwa ajili ya pasaka akalala mujini siku tatu kusubiri usafiri wa basi bahati nzuri katika maongezi akaniambia anaishi huko na mimi nilikuwa naelekea huko hivyo nikampa lift.

Ukifika ni mahari panapo ibukia kimaendeleo .kuna kahawa kwa wingi kama zao la kibiashara .nauli kutoka songea ni tsh 4500/= shida ya huku ni moja uchawi yaani sayansi ya kiafrika nawo wamo huku wanashinda na majirani zao wapya wilaya mpya ya nyasa .visa ni vingi vya nduma . Barabara JK amekwahuku amejitahidi ipo kampuni ya kichina ndio wanamaliza inaitwa SYNOHYDRO. Watu wa huku wanapiga pombe., balaaa kitimoto ni kama mbuzi tu .karibu ni mbinga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom