Tukumbushane wababe waliotikisa mkoa wa Iringa miaka ya 90's

Tukumbushane wababe waliotikisa mkoa wa Iringa miaka ya 90's

Galamtogela

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
102
Reaction score
27
Binafsi namkumbuka jamaa mmoja alikuwa anajiita COOL NINE .jamaa alikuwa gumzo iringa nzima kwa ubabe .lakini kuna siku alikutana na mzee mmoja mwindaji pale maeneo ya mkwawa kwa sasa ndio university Muce baada ya mzozo jule mzee alipiga risasi ya mkononi na kumvunja mkono.lakini bado ubabe ukawa bado palepale.
 
Mimi pia nilikuwaga mbabe sana, miaka ya 90
 
Hehehe we jamaa lazima ulikulia mitaa ya kitanzini na miomboni! Nina jamaa yangu mtoto wa miomboni hapo akianza kukupa story za hao jamaa zenu hehehe utafikiri movie. Ngoja nitamtafuta halafu nim quote!
 
Nimemkumbuka marehemu mikidadi mwakadinda duh jamaa alipigwa kisu na wenzake maeneo ya kijiweni na kufa kisa mgawo wa mali ya wizi
 
Kulikuwa na kundi la Eric na kundi la George.Hali ilikuwa mbaya sana kwenye kumbi za disco.
 
Kulikuwa na kundi la Eric na kundi la George.Hali ilikuwa mbaya sana kwenye kumbi za disco.

hivi kama vijana wangekuwa wanafanya jitihada zile za kupigana ndio masomo iringa ingekuwa mbali sana
 
Hehehe we jamaa lazima ulikulia mitaa ya kitanzini na miomboni! Nina jamaa yangu mtoto wa miomboni hapo akianza kukupa story za hao jamaa zenu hehehe utafikiri movie. Ngoja nitamtafuta halafu nim quote!
huyo cool nine si ndio alinusulika kifo pale maeneo ya isoka alivyoenda kuvunja godauni na kaka yake Marehemu Hayati ndio siku aliyopigwa risasi na wenzake wanne.
 
Nimemkumbuka marehemu mikidadi mwakadinda duh jamaa alipigwa kisu na wenzake maeneo ya kijiweni na kufa kisa mgawo wa mali ya wizi
cool nine, shedadi, hayati duuh. mikidadi kadinda alikuwa classmate wangu mlandge primary school alikuwa na ndugu yake william kaka yake nimemsahau jina alikuwa anasoma muungano
 
yap jamaa alitisha miaka ile enzi za studio 5 na wamahanji.
 
Alikupo Shetani, Kalinga Alie Aga Umasikini, Kipagatilile Jambazi,mzee Ubwa, Mwambungu Askari Police.
 
Cool 9 alikuwa noma,siku za match za mkwawa na highland jamaa walikuwa wanamkodi kutembeza ubabe
 
Yaani nyie wanyalukolo taabu sana, mnawaenzi watu waliokuwa mahasimu na jamii?
 
Hehehe we jamaa lazima ulikulia mitaa ya kitanzini na miomboni! Nina jamaa yangu mtoto wa miomboni hapo akianza kukupa story za hao jamaa zenu hehehe utafikiri movie. Ngoja nitamtafuta halafu nim quote!

Kitanzini, huwezi kukaa iringa bila kuufahamu mtaa huu, kitanzini miomboni ndio mitaa nuliyokulia the former mtoto wa mbwa hatutishiwi mwili nyumba tunaondoa kila kizingiti mbele yetu wababe wa mitaa yote tuchokoze bahati mbaya tukufumue kwa lazima. Hahaha thats ma home am proud of it.
 
yap alikuwepo Cool nine, Ali Tungu(RIP) mdogo wake, AdamMafua a.k.a CYBORG(RIP) wale wateja wa ukumbi wa disco by then Ruaha International watakuwa wanamfahamu vizuri shughuri zake, babu Nyoka babu yao Cool Nine, hawa ni wababe waliokuwa wakitokea Miyomboni na Kitakita. Alikuwapo Simba Nyunza na Salehe Makegete wababe wa ukumbi wa Cinema Highland.
 
Back
Top Bottom