Jamani nani amengalia taalifa ya habari star tv muda huu. Haya ni mauaji ya kutisha sana.


G

Galamtogela

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
101
Likes
1
Points
35
Age
37
G

Galamtogela

Senior Member
Joined Aug 25, 2013
101 1 35
Mtoto mdogo auwawa na baba yake kisa ugomvi na mkewe maeneo ya makorongoni mjini iringa .mara baada ya kumfukuza mkewe amshushie kipigo akamkosa then akarudi nyumbani na kumkuta mtoto wake amelala na kumnyonga shingo na kumuuwa hapo hapo.duh umnyama ulioje? Kweli wanyalu tumezidi asila.
 
K

kihedemuswede

Senior Member
Joined
Nov 25, 2013
Messages
140
Likes
15
Points
35
K

kihedemuswede

Senior Member
Joined Nov 25, 2013
140 15 35
Atakuwa alilewa mkangafu tu au?
 
S

sheckman

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Messages
425
Likes
3
Points
35
S

sheckman

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2013
425 3 35
Haki za binadamu wako wapi? Au wao ni mauaji ya polisi na ra......
 
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,253
Likes
340
Points
180
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,253 340 180
aamerithi tabia za simba dume
anauwa watoto wasio wake kama mama yao anataka kurudiana nae.
huyu nae alitakiwa kunyongwa papo hapo akamsalime Lucifer
 
S

SURUMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,909
Likes
138
Points
160
S

SURUMA

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,909 138 160
Atakuwa alilewa mkangafu tu au?
Ingekuwa ni Mkangafu PLUS angemchapa tuu! Hii lazima alipata MDINDIFU na jani la Malawi waletewalo na truck drivers toka kwa Madame Banda hapo Lilongwe!
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
62,624
Likes
31,699
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
62,624 31,699 280
Mtoto mdogo auwawa na baba yake kisa ugomvi na mkewe maeneo ya makorongoni mjini iringa .mara baada ya kumfukuza mkewe amshushie kipigo akamkosa then akarudi nyumbani na kumkuta mtoto wake amelala na kumnyonga shingo na kumuuwa hapo hapo.duh umnyama ulioje? Kweli wanyalu tumezidi asila.
=Hasira

Taalifa = Taarifa
 
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,396
Likes
19
Points
135
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,396 19 135
Hakika miaka hii ubinadamu umebaki kusomwa kwenye vitabu vya dini tu, unyama umetawala!
 
G

Galamtogela

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
101
Likes
1
Points
35
Age
37
G

Galamtogela

Senior Member
Joined Aug 25, 2013
101 1 35
=Hasira

Taalifa = Taarifa
kweli mwalimu wa kiswahili unatisha ila nadhani nimekosea maneno mawili tu. Lakini wazungu wanamsemo wao "no body remember when im right but no body forget when im wrong " but next time angalia content .
 
steveachi

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Messages
4,923
Likes
2,609
Points
280
steveachi

steveachi

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2011
4,923 2,609 280
ugomvi ni kisingizio tu,hayo yatakuwa ni masharti ya mganga,si unajua tena watu wa huko na utajiri wa vipunje?
 
G

Galamtogela

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
101
Likes
1
Points
35
Age
37
G

Galamtogela

Senior Member
Joined Aug 25, 2013
101 1 35
kwahiyo wewe, taarifa aliyoitoa haijakuhuzunisha bali alivyokosea tu ndo imekuhuzunisha!
Kweli Allah has to bless you!
upo sahihi mkuu inaonesha huyu kweli ni fox ,mbwa kama hawa hawana huruma hata kidogo
 

Forum statistics

Threads 1,263,854
Members 486,093
Posts 30,166,128