Unaijua hospitali ya mission Peramiho Songea

Galamtogela

Senior Member
Aug 25, 2013
101
195
Hii ni hospitar kumbwa sana hapa mkoani RUVUMA ipo mbali kidogo na mji wa songea .hospitali ni nzuri sana kimajengo pia huduma zake ni mzuri shida ya hapa ni msongamano wa watu huduma zinaenda pole pole sana tokd asubuhi saa 2 unarudi saa 10 jioni.kama kawaida ukitaka kuwahi kuondoka vaa shati la mikono mirefu. Haya yameanza mara baada ya hospitar kurudi chini ya sirikali
 
kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,796
2,000

vp dr manyai hajambo?
 
hmtk

Senior Member
May 24, 2013
154
225
Hii ni hospitar kumbwa sana hapa mkoani RUVUMA ipo mbali kidogo na mji wa songea .hospitali ni nzuri sana kimajengo pia huduma zake ni mzuri shida ya hapa ni msongamano wa watu huduma zinaenda pole pole sana tokd asubuhi saa 2 unarudi saa 10 jioni.kama kawaida ukitaka kuwahi kuondoka vaa shati la mikono mirefu. Haya yameanza mara baada ya hospitar kurudi chini ya sirikali

Sasa uzuri wa huduma hapo uko wapi kama huwa zinaenda pole pole na kwa "kuvaa shati la mikoo mirefu"? Kwa mtazamo wangu hapo huduma zimeshakuwa mbovu, suluhu kwa wagonjwa ni kuirudisha hiyo hospitali kwa wenyewe, Wabenedictine kwani walikuwa wanawajali wagonjwa kwa kuwapa matibabu bora tena kwa wakati.
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,521
2,000
Teh teh kikwete aliipa hadhi ya hospital ya rufaa kwa ushabiki wa kupata kura!hapo kuna uwanja wa ndege wamissionary wanabeba madini pembe za ndovu kiulaini
 
Manyema

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
396
1,000
Hii hospital ilikuwa bomba sana enzi hizo miaka ya tisini nakumbuka enzi hizo mzee wetu alikuwa akitupeleka hapo kupata matibabu at least once a month, in short ni kwamba last born kwenye family yetu alizaliwa hapo miaka kama 20 iliyopita na pia mzee wetu alifia hapo mwaka 2010 kwa ugonjwa wa sukari. Kulikuwa na kina Dr.Komba, Dr. Simba sijui bado wapo.....Live long Peramiho hospital
 
Galamtogela

Senior Member
Aug 25, 2013
101
195
Teh teh kikwete aliipa hadhi ya hospital ya rufaa kwa ushabiki wa kupata kura!hapo kuna uwanja wa ndege wamissionary wanabeba madini pembe za ndovu kiulaini

mkuu nilikuwa busy kidogo maana siunajua tena wagonjwa ni wengi lakini hatimaye nimesha pata matibabu. Unachosema kinaingia akirini maana naona nyumba moja hapa imejengwa juu ya mlima hapahapa katika eneo wanaolimiliki hawa jamaa sijui kinafanyika nini kule juu.na inasemekana underground kuna issue zinaendelea
 
Oct 26, 2013
31
0
Mganga mkuu ni Dr. v. mushi 0783 339856
he is a very friendly and amiable person.
please assist him to enable him to help you.
hayo mambo ya madini blah blah sio lugha ya Karne ya 21. Wamissionary wa Benedictine White Fathers walienda huko more than 90 years ago.

Jamani tuwe na shukrani kidogo hata Kama sio kwa Mungu hata kwa historia.
!
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,349

Unamaanisha nin mkuu?
 
kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
7,980
2,000
Hospital hii ya peramiho Mtakatifu Joseph Mfanyakazi bado ipo chini ya mission ingawa inapewa ruzuku toka serikalini. Kwa upande mwingine ni kuwa baada ya kuwatoa wabenedictini pale peramiho na kuwakabidhi 'weusi'wenzetu huduma zimedorora sana.binafsi niliwahi kufika pale,ni kweli kwa sasa kama mfukoni una kitu wala huhitaji kukaa foleni kumwona doctor na kupata huduma. Nimepanga kumfikishia malalamiko haya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea pindi atakapoteuliwa.
 
Barca

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,267
2,000
Haya sasa hamieni Regional hospital Songea. Madaktari wapo wa kutosha na kunahuduma za kila aina uanzotaka. Huduma zipo za kuanzia daraja la 1 hadi la 3. Wapo madaktari wengi. Kuna kijana kaja hapa anaitwa Dr mdede alikuwa Peramiho anapiga kazi balaa. Karibuni sana aka HOMSO
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom