Search results

  1. K

    INAUZWA Uuzaji Wa Flat Tv Na Subwoofer Aina Zote

    Arborder Inch 65 bei gani
  2. K

    Nahitaji Landrover Diffender used kwa ajili ya kununua-hata kama imepaki

    Please nahitaju kununua Landrover Diffender iliyotumika, kama kuna mwenye nayo anirushie picha kisha tuongee biashara
  3. K

    Ni engine gani nzuri kwa Toyota Hilux Double Cabin

    Wakuu nataka kununua Toyota Hilux Double Cabin, ila changamoto ni kujua engine gani hazina usumbufu katika gari hiyo.
  4. K

    Makadirio ya ujenzi wa Josho

    Nashukuru sana kwa Mwanga ulionipatia
  5. K

    Makadirio ya ujenzi wa Josho

    Ndugu zangu natarajia kujenga josho kwa ajili ya kuogeshea mifugo yangu ipatayo Ng’ombe 300 na mbuzi 600.hivyo naomba mwenye ramani pamojana mahitaji ya ujenzi ili niweze kuitimiza ndoto hii.Kimsingi lichen ya kulitumia mwenyewe,nategemea pia kuliendesha kibiashara kwa kuoshea pia mifugo ya...
  6. K

    Mashine gani ya kufulia nguo iliyoimara

    Umenichanganya mkubwa
  7. K

    Mashine gani ya kufulia nguo iliyoimara

    Bei zake zikoje
  8. K

    Mashine gani ya kufulia nguo iliyoimara

    Wakuu nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo lakini nshindwa kujua brand ipi iliyoimara.nataka nimpumzishe shemeji yenu na vurugu za kufua naomba mnifahamishe aina gani iliyo bora na imara
  9. K

    Subwoofer ya gari inauzwa

    Okay.Sasa kama we umeona haufai ndo unataka kuhamishia kwa wengine.Jifunze kubana matumizi kijana,we usawa huu unafanya matumizi ya mamiziki kwenye magari.nyie ndio tunao watafuta
  10. K

    Subwoofer ya gari inauzwa

    kwanini unaiuza,maana nyie vijana wa Posta hasa pale BP/PUMA janja janja nyingi sana
  11. K

    Nauza Tank za maji za lita 1000 zile zenye chuma bei nafuu

    Hujasema upo wapi na tunakupataje mkuu,mbona kama hauko makini na vitu vidogo vya msingi
  12. K

    Kati ya Sekondari ya Sangu na Ivumwe ipi bora?

    Naomba majibu yenu wakuu,kati ya hizi shule mbili ipi ipo bora nataka kumpeleka kijana wa kiume huko akapige shule
  13. K

    Sehemu ipi nzuri ya kujenga Mwanza kati ya hizi?

    Acha kuhangaika kijana,nenda kisesa jirani na Nyumba za Watumishi Housing,kakamate kiwanja pale kwa bei ya serikali,muone jamaa anaitwa Ali 0622 323 333.hakuna longo longo wala udalali
  14. K

    Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA KIBADA-KIGAMBONI

    Nauza kiwanja eneo la kibada Block 7,kina ukubwa wa squremeter 1350 kimepakana na eneo la NSSF,Kimepimwa na kina hati,anae hitaji tafadhali ani PM au awasiliane kwa namba 0654274004.
  15. K

    Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    ILIKUWA Mei 21,1996 katika ziwa Victoria, meli ya MV Bukoba ilipata ajali baada ya kupinduka na kuzama na hivyo kupelekea zaidi ya watu 800 kupoteza maisha. Meli hiyo ilizama ikiwa imebakiza takribani kilomita 30 kutia nanga kwenye bandari ya Jiji la Mwanza ikitokea mkoani Kagera.Jumamosi ya...
  16. K

    Mtaalam wa kutafsiri kitabu cha kiswahili kwenda kiingereza

    waweza mpigia pande mwenzako,au kama vipi nisaidie taasisi inayoweza ikanifanyia hii kazi
  17. K

    Mtaalam wa kutafsiri kitabu cha kiswahili kwenda kiingereza

    Nahitaji haraka mtaalam anaeweza akatafsiri kitabu cha kiswahili (hadithi) chenye kurasa 200 kuwa cha kiingereza.kama yupo tafadhali anipe namba yake
  18. K

    African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

    Mbwana samata we believe in you. Umeibeba Tanzania
  19. K

    Wachimba Visima

    Pigia huyu Jamaa,ni geologist,anafanya kazi maji ubungo na ana kampuni ya uchimbaji,kanichimbia kwangu 0713214724,anachimba,anapima maji na anakushauri,sio kuchimbachimba tu,maji ni very delicate product,vinginevyo utaingia chaka ujute.
Back
Top Bottom