Mtaalam wa kutafsiri kitabu cha kiswahili kwenda kiingereza

Kimeo

Member
May 19, 2009
77
13
Nahitaji haraka mtaalam anaeweza akatafsiri kitabu cha kiswahili (hadithi) chenye kurasa 200 kuwa cha kiingereza.kama yupo tafadhali anipe namba yake
 
Niko bize sana, hata nikiomba likizo sijui kama ntapewa ila tungeliwasiliana
 
waweza mpigia pande mwenzako,au kama vipi nisaidie taasisi inayoweza ikanifanyia hii kazi
sijui taasisi gani, kwani mimi mwenyewe ni mkufunzi tu na mwandishi wa vitabu, nafanya kazi private. Kama upo uwezekano wa kuifanya kazi hapa hapa tanzania, badi tuifanye
 
Nahitaji haraka mtaalam anaeweza akatafsiri kitabu cha kiswahili (hadithi) chenye kurasa 200 kuwa cha kiingereza.kama yupo tafadhali anipe namba yake

Call me on 0755 575 714
 
Back
Top Bottom