Search results

  1. Mudhyd

    Msaada wa maombi ya mkopo demographic info (HESLB)

    Same problem, sijui wana shida gani!
  2. Mudhyd

    Hivi Marekani ni kweli watu wanakufa hivi au tunadanganywa?

    Kwamba ni ndogo au, Kama ni kubwa wadanganye watu wao wanakufa ili imfaidishe nani! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mudhyd

    Naomba kujuzwa usalama wa Moshi.

    Kiduku Lilo njoo chukua ndugu zako huku!
  4. Mudhyd

    Mwanafunzi auawa na mamba akioga Ziwa Victoria

    Kama mabaki ya mwili hayajaonekana kivipi wathibitishe kifo chake?
  5. Mudhyd

    Maeneo ya Dar yasiyo na joto sana

    Goba na Kifuru
  6. Mudhyd

    Baba mwenye nyumba ameamua kuwaomba wapangaji wake msamaha

    Ngoja waje, wapo njiani wanarudi majumbani mwao!
  7. Mudhyd

    Gharama za kuandika private number kwenye gari zipoje

    Kama sio anafuata nyayo za Kiduku Lilo Basi itakua ndugu yake huyu!
  8. Mudhyd

    Dr. William: Madhara ya vinywaji vya kuongeza nguvu(Energy drink)

    Good Thread! [emoji122][emoji122][emoji122]
  9. Mudhyd

    Namna ya kutuma maombi ya kazi katika mashirika mbali mbali.

    Duh, hii hali ni hatar! Ila asichoke kutuma maombi kwa namna hiyohiyo mnayotumia, ipo siku ataitwa tu kwenye usaili!
  10. Mudhyd

    Uswahilini mkibadili biashara, badilisheni majina ya biashara ya awali mnakera

    [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
  11. Mudhyd

    Kiwanda cha kutengeneza Nguo cha Sunflag Arusha kinateketea kwa moto muda huu

    Wanazalisha khanga, mashuka ya kimasai, vitenge, t-shirts n.k
  12. Mudhyd

    Msaada: Fundi wa kubadilisha betri ya Iphone 6

    Mpigie huyu ‎‎0719218887‎‎ atakusaidia!
  13. Mudhyd

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Naul ni 33 top, ni luxury, gari iko poa sana na pia konda na dereva wake wana lugha nzuri kwa abiria!
  14. Mudhyd

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    JMC ikitoka dar saa 12, singida saa 10 unakua umeshafika! Nauli ni Elfu 30 mpak 33, seat ni 2 by 2
  15. Mudhyd

    Mkuu wa mkoa Dar na social relationship ya wakazi wa mkoa wa Dar..!

    [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
  16. Mudhyd

    Matumizi ya Antivirus mbili katika device.

    Antivirus mbili za nini, cha zaidi utaongeza tu uzito wa PC!
Back
Top Bottom