Mkuu wa mkoa Dar na social relationship ya wakazi wa mkoa wa Dar..!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,611
20,935
"Nimepokea malalamiko mengi sana kutoka kwak ina dada, Wakina dada wa Mkoa wa Dar EsS alaam wengi wamechoka kutapeliwa, Vijana na
wanaume wamekuwa wakiwaahidi kuwaoaa halafu wanaingia mitini, na wamefanya watotow engi wa kike wamekua na majeraha moyoni".- Paul Makonda, RC, Dsm.

RC Makonda ameongeza ya kuwa upo mpangow a kuanzisha mfumo wa kuhifadhik umbukumbu zote za ndoa zilizopo mkoa waD ar Es Salaam ili kupunguza utapeli wanaofanyiwa wanawake kwa kudanganywa na wanaume kuwa wataolewa.

RC Makonda amesema hayo leo Jumatatu Agosti 12, 2019, Huku akieleza kuwa mbali ya mipango hiyo, Atatumia mkutano wa SADC unaondelea
nchini Tanzania kupata uzoefu kutoka kwa nchi nyingine kufahamu namna gani wanakabiliana na utapeli wa aina hiyo.

# EDigitalUpdates
 
Kwani wanaodanganya wote wameoa? Kudanganywa kupo world wide. Mkuu wenu wa mkoa ana matatizo ya akili. Au labda Mimi sijaelewa...itapunguzaje kudanganywa? Na anasemaje kuhusu wadada wanao wadanganya wanaume?
 
Akiona wanadanganywa basi ajue nao wanadanganya vijana wa kiume pia. Kesi ya nyani haisuluhishwi na Ngedere🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom