Naomba kujuzwa usalama wa Moshi.

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Oct 13, 2019
228
210
Hi everyone in here!

I'm expecting to pay a visit to Moshi this month with my Jewish girlfriend, Linda, but sina uhakika na hali ya usalama katika mji wa Moshi.

I would like to know kama kuna hoteli za hadhi ya 5 star. Kama zipo naomba address.

Hawa watu wa huko nasikia ni wezi sana. Je, huko kuna askari walinzi au mpaka nitembee na my bodyguards? Anyway, nitaongea na Kangi nipewe ulinzi wa taifa.

Natamani nikifika huko, nipande na mlima Kilimanjaro. I real want to surprise my girlfriend. Sema nahofia usalama wake maana wazazi wake wamemkabidhi mikononi mwangu wakiamini mtoto wao hatadhurika, na ukizingatia ni mtoto pekee wa waziri wa Israel.

Kwani mji wa Moshi ni mkubwa sana? Unaweza fanana na Kigali? Barabara zake ni pana? Naogopa kusababisha traffic jam maana natrgemea kuwa na msafara kama wa magari 12 hivi.

Nikifanikiwa kufikia huko, naomba Watanzania wenzangu tusiaibishane; masuala ya kuanza kuombana hela hayafai mbele ya mgeni. Naombeni muwe wavumilivu kwa wiki nitakayo pay a visit hapo Moshi.

Jambo Tanzania.
 
Usihangaike na mji wa Moshi unaotoka kwenye Kigali, kwa msafara wako wa magari 12 unatosha kupata jiji kubwa la Moshi. Usisahau kuja na binti mwingine wa Kigogo wa huko naweza pitiwa na upepo wa kisulisuli nikadondokea kwake.
 
Hey Dude!.

Do you think that you will probably be the most richest person to conquer Mount Kilimanjaro? Many had and nothing had happened.

Huyo Girlfriend wako utamuibia wewe labda.
 
Junior Rutashoborwa,

Hey junior Ruta! Mhaya sasa unamchokoza Mchaga baada ya kushindwa kumpata mwalimu wa Kiswahili. Huko mahari yako 12 hayataonekana, fikiria kila mabasi kumi utakayoyaona barabarani, tisa wenyewe ni wa huko. Wenzako hawazungumzii gari watu wanapaki ndege majumbani kwao migombani; nyie mnapaki vibanda vya kukamatia senene kwenye migomba. Huyo msichana wenzako hawana shughuli naye wao muda wote wanatafuta hela sijui watakuibia nini, senene? Hawali hao wadudu.

Junior Ruta achana na hiyo safari endelea kutafuta mwalimu wa Kiswahili.
 
Hi everyone in here!

I'm expecting to pay a visit to Moshi this month with my Jewish girlfriend, Linda, but sina uhakika na hali ya usalama katika mji wa Moshi.

I would like to know kama kuna hoteli za hadhi ya 5 star. Kama zipo naomba address.

Hawa watu wa huko nasikia ni wezi sana. Je, huko kuna askari walinzi au mpaka nitembee na my bodyguards? Anyway, nitaongea na Kangi nipewe ulinzi wa taifa.

Natamani nikifika huko, nipande na mlima Kilimanjaro. I real want to surprise my girlfriend. Sema nahofia usalama wake maana wazazi wake wamemkabidhi mikononi mwangu wakiamini mtoto wao hatadhurika, na ukizingatia ni mtoto pekee wa waziri wa Israel.

Kwani mji wa Moshi ni mkubwa sana? Unaweza fanana na Kigali? Barabara zake ni pana? Naogopa kusababisha traffic jam maana natrgemea kuwa na msafara kama wa magari 12 hivi.

Nikifanikiwa kufikia huko, naomba Watanzania wenzangu tusiaibishane; masuala ya kuanza kuombana hela hayafai mbele ya mgeni. Naombeni muwe wavumilivu kwa wiki nitakayo pay a visit hapo Moshi.

Jambo Tanzania.

Rafiki yangu mimi naomba uwe mwangalifu tu na post zako. Unajua humu JF watu tunatofautiana sana. Kuna mwingine anaweza akakutana na post yako hii, akasoma halafu akalia kwa uchungu. Hii post ilitakiwa kuwa kwenye jokes na si kwenye habari na hoja mchanganyiko. You really can make a best conmedian, naona una kipaji hicho. Nakushauri utafute air time kwenye TV kama walivyofanya akima MC Pilipili!
 
Hizo tambo zako zinanihusu nini mimi mwanakijiji wa hapa namanyere, nikishashiba ugali wangu wa dona na dagaa basi naangalia kesho itakuja vp..
 
Grow up fast..... dats 1 and 2. wake up from the dream yo are havin....!
 
Back
Top Bottom