Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

Nimewauliza wamesema ni Tshs.45,000/= na Tshs.50,000/=
Nimemuuliza hilo la Tshs.50,000/= lina huduma gani ya zaida akajibu hakuna.
Ya 50,000 ni tofauti kidogo na 45,000 kwa upande wa viti, ya 50 ipo comfort kiasi na siti hazijabana ,na hukuchukua watu wachache, na hizo za 50 ni gari za dar -nairob ila mara nyingine huzipeleka mwanza.
 
Wakuu mie, Naomba kujua nauli ya Makambako mpaka Morogoro na kama kuna basi la kuanzia hapo. Asanteni
 
Nna mzigo wangu upo Mwanza nataka kuutuma uje Tanga ni Playstation 2 mbili zipo kwenye box moja dogo tu naomba wahusika waje tuyajenge
 
MABASI YA TANZANIA/LIST OF BUSES:

-TAHMEED COACH
-Dar Express
-Dar lux
-Matiku
-Emigrace
-Nyamanza
-Muck
-Lufumbe
-Lamigo
-Super sonic
-Hg
-Baraka
-Marangu coach
-Mvungi
-Jmc
-Shengzou
-Prezdar
-Tilisho
-Nkondo
-God is one
-Bright line
-Top maskary
-Sajda
-Ruchoro
-Ncheye
-Johamvia
-Ruksa
-Royal udzungwa
-Extra
-Ngasamo
-Amazon
-Fikoshi
-Easther
-Appolo
-Kilimanjaro Express
-Hood Limited
-Abood bus
-Metro Express
-Sumry High Class
-Akamba
-Kampala coach
-Shabiby Line
-Princes Muro
-Ngorika
-Buffalo coach
-Saibaba Express
-Fresh coach
-Spider
-Simba coach
-Mombasa raha
-Happy Nation
-Mohamed Trans
-Ibra Line
-Simba mtoto
-Mbeya Express
-Taqwa
-Upendo coach
-Super Feo
-Robin top line
-New Force
-Moro best
-Champion
-Al saedy
-Allys sports
-King cross
-Mwafrika
-Abs coach
-Tawakal
-Raqib
-Moud raha
-Mabrouck
-Fasaha
-Arusha Express
-Urio trans
-Ngwalu express
-Chaula trans
-Islam
-Skyline Express
-Chakito long way bus
-Arusha express
-Best line
-Super sonic exp
-Leina tours
-Ilasi express
-Shabco
-Nganga express
-Jordan express
-Batco coach
-Zuberi
-Super najimunisa
-Sharon
-Dear babu
-Mohamed invenstments
-Masama investments
-Rafiki trans
-Shambalai
-Ng'itu
-Shobnaz
-Safari coach
-Mbazi travel
-Kvc safari
-Pole pole
-Perfect trans
-Lucky star
-Bunda express
-Tonda express
-Deluxe
-R.s investments
-Kimambo
-Seth express
-Tayassar
-Zakaria express
-Green star
-Hajee's
-Grazia
-Ally's sports
-Luwinzo
-Osaka
-Harambee coach
-Shabaha promise
-Fasaha
-Budget
-Satellite coach
-A.M coach
-Air born city
-Air bus
-Tashriff
-Raha leo
-Freys coach
-Coast line
-NBS coach
-Mghamba trans
-Dolphin
-Lakrome
-Bembea
-Meridian coach
-Perfect trans

KAMPUNI ZA MABASI ZILIZOSTAAFU/ RETIRED COMPANIES:

-Scandinavia Express
-Air Msae
-Royal Coach
-Satelite
-Zainabu
-Kwacha
-Kizota line
-Sabco limited
-Embakasi express
-Comfort Express
-Chatco chater

AINA ZA MABASI YANAYOTUMIKA / MAKES OF BUSES:
-Scania
-Mercedes Benz
-Man
-Nissan Diesel
-Yutong
-King Long
-Isuzu
-Iveco
-Zhonda
-Zhong Tong
-Mitsubishi


Mara kwa mara humu pamekuwa na thread za watu kuuliza nauli ya kutoka sehem flani kwenda sehemu fulani, pia wapo wenye waliuliza usafiri wa sehemu fulani nitapata wapi? Wapo pia waliouliza huko wanakokwenda ni wageni je ni tahadhari gani wachukue.

Mimi nikiwa kama mmoja wa wadau usafirishaji nitakuwa hapa kutoa kila update inayonifikia


Cc Invisible JamiiForums

View attachment 387302
Naomba kujua basi nzuri Dar-Mbeya na bei (nauli)
 
Bus gani luxury zuri route ya Mbaya au hadi Tunduma,ambalo naweza kuchaji hata Simu nikiwa safarini Mkuu
 
kawaida safari huanzia dar so unapobook basi linaloanzia dar kaa ukijua seat yako itatoka tupu dar hadi moro so ni lazima ulipie nauli ya dar..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom