Msaada: Fundi wa kubadilisha betri ya Iphone 6

Habari wakuu, nina simu yangu ya iphone6 betri yake haikai chaji yaani imefikia hatua nikitaka kutumia mpaka nikae nayo kwenye socket.
Mbaya zaidi sasahivi betri imevimba ndani na kusababisha kioo kuachana na motherbody ila inawaka na inafanyakazi kama kawaida tatizo haikai chaji na imefumuka sababu ya kuvimba kwa betri ndani.
Kwa mwenye utaalamu au kumjua fundi naomba anisaidie kunielekeza pamoja na gharama zake.
Naomba kuwasilisha.

Piga namba hii 0767 008 289.Hali hiyo mara nyingi husababishwa namatumizi ya cable fake. Risk yakekubwa ni kuingiza maji au jashondani simu kidogo kidogo mwisho itashort nakufa kabisa.
 
hizo simu huwa simple sana hata wewe kama utatuliza kichwa unabadilisha,tafuta betry around 25k,na screw driver zake 5k sisitiza za iphone.

halafu kakae chini fuatilia tutarial youtube.

NOTE:kama huiamini akili yako tafuta fundi tu.maana hauzidi 10k kubadili.
 
Habari wakuu, nina simu yangu ya iphone6 betri yake haikai chaji yaani imefikia hatua nikitaka kutumia mpaka nikae nayo kwenye socket.

Mbaya zaidi sasahivi betri imevimba ndani na kusababisha kioo kuachana na motherbody ila inawaka na inafanyakazi kama kawaida tatizo haikai chaji na imefumuka sababu ya kuvimba kwa betri ndani.

Kwa mwenye utaalamu au kumjua fundi naomba anisaidie kunielekeza pamoja na gharama zake.
Naomba kuwasilisha.
Wakuchomoa je
 
Ukiona unababaika na betri tu ujue wakati wako wa kumiliki iPhone ulikuwa bado. Ulilazimisha
 
Battery yake og ni kuanzia45 pia zipo za 25..
Upo wapi mkuu

Mkuu na mimi nahitaji ya iPhone 6S+

Nshabadilisha kwa mara ya kwanza ila bado inasumbua mana nlinunua 30 afu naskia ilkua feki

Utanisaidiaje mkuu
 
Back
Top Bottom