Namna ya kutuma maombi ya kazi katika mashirika mbali mbali.

Chief Kibonde

Member
Aug 6, 2019
25
13
Habarini wana JF.

Penye wengi pia kuna ushikamano na maarifa,

Msaada kuna namna ya kuandika cv au namna yakutuma maombi katika nafasi za kazi mbali mbali?

Hii ni juu ya rafiki angu mpendwa baada ya kumaliza chuo mwaka 2014 Degree ya community development and public relations, hajawahi kupata kazi na katika maombi yakazi katika barua pepe yake kuna application sending zaidi ya 1000 lakini cha ajabu hata kuitwa kwa usahili hapana . na kuna kipindi hadi alishawahi kuniomba cv yangu walau aedit huenda anakosea lakini hadi sasa kasha weka mikono chini nimejaribu hata kuwa na cv yake nikiipisha katika mashirika ninayofanya nayo kazi lakini hamna kitu. na ka pass vizuri sana na vyeti vyake ni vizuri sana.

Jamani wana jamvi karibuni tupeane mawazo
 
Pole sana. Ni heri aombe hata internship nahisi itafaa akianzia hapo.
 
Duh, hii hali ni hatar!
Ila asichoke kutuma maombi kwa namna hiyohiyo mnayotumia, ipo siku ataitwa tu kwenye usaili!
 
Nampa pole Sana ajitahidi tu kuendelea kuomba Siku yake itafika.
Tujitahidi pia kuomba kama kuna vizingiti vingine vya kiroho vifunlguliwe
 
Kuna Tatizo lingine Wanigeria,wakenya wako wengi nchi nyingi duniani sababu wengi huomba Kazi nje ya nchi .Wanigeria akimaliza tu degree haanzi kuomba kazi ndani ya nchi huona Kama nuksi anaanza kuomba nje ya nchi anaandika barua hata Mia tano nje.Kazi nje ziko nyingi Ni juhudi yako tu kuzisaka mitandaoni.Internship pia ziko kibao nje.Ni kuzi search tu .Mtoto want kamaliza digrii ya sociology Sasa hivi.yuko nje wenzie wako wanasota mtaani akiandika kuomba Kazi NGO ya kimataifa akaenda kuombewa kea Mwamposya akapata mshahara dola elfu tatu kwa Mwezi Kama milioni sita za kitanzania.Ninawasihi vijana anzeni kutafuta kazi nje ndani kumefurika.Acheni kuchat tu
 
Back
Top Bottom