monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,487
- 13,018
Habar za muda huu ndugu wanajukwaa
Nadhani sote tunafaham kinachoendelea kati ya Baba mwenye nyumba wetu na wapangaji wake (kama huelewi sikiliza na kutazama vyombo vya habar#kurudisha pesa#wahujumu mipesa)
Kwa wale ambao hawafaham ni kwamba hapa Baba mwenye nyumba alizichanga karata zake vzr na bado anaendelea kuzichanga karata zake vrz japo kuna mahali tayar ameshachemka kidogo
Movie ipo namna hii;
Kumbuka movie hii haina trailer,movie inaanza 2015 Baba mwenye nyumba yupo kwenye majukwaa ya kisiasa akiomba kura na kula,hapo akawahadaa wapangaji#wananchi kuwa ataanzisha mahakama ya mafisadi (mwisho wa yote sina kumbukumbu kama mahakama hii ilianzishwa kwa kuwa hata mama wa sheria#katiba si dhani kama anaitambua mahakama hii)
Ukweli ni kwamba mahakama hii haikuanzishwa (kama ipo) kwaajili ya wahujumu mipesa bali ilianzishwa kwaajili ya kuwaadabisha maadui wa Baba mwenye nyumba hasa wale ambao hawakumsapoti kwenye mbio za marathon#Upuuzidenti 2015 so,wale ambao waliwasapoti watu wengine iwe ni ndani au nje ya chama ndyo hawa wanaokaangwa leo hii.Hoja chokonozi mbona Professor Anna#pesa ya mboga,Williameeee na Andulea walikwapua mpunga mrefu na leo hii wapo uraiani?
Huko kote Baba mwenye nyumba amefeli vbaya sana
ALIPOFELI ZAIDI:Baada ya kuona kuwa hawawezi hao anaowaita hawajumu mipesa akaamua kuwaundia zengwe,waji-commit kuwa waliiba hiyo mikwanja,warudishe kimya kimya swali je,yeye ndyo mahakama? mahakama ya mafisadi inafanya kazi gani?
Ukweli usiosemwa ni kwamba Baba mwenye nyumba ameona hata akienda nao kwenye njia ya katiba hawezi kuwashinda watu hao so,BABA MWENYE NYUMBA AMEAMUA KUWAOMBA WAHUJUMU MIPESA MSAMAHA kwa mgongo wa kuandika barua na kurudisha kwa hiari kwa kuwa hawezi kuwashinda kwa njia ya sheria kama atasimama nao mahakamani pia,kesi hizo zingewaingiza watu wengine kwenye chain ikiwa ni pamoja na chama chake
KWANINI WATU WANALAZIMISHWA KUANDKA BARUA?
Nilimsikia DPP akidai kuwa inabidi kila mtu akiri kwa maandishi ili baadae asije ishtaki serikali lkn,huo sio ukweli.Ukweli uliofichwa ni huu;watu hao watatoa fedha hizo na baadae watakaporudi uraiani na kutaka kuishtaki serikali basi serikali (system) itayaanika mabaya yao kupitia barua watakazoziandka kwa kuwa kwenye barua hizo wanalazimishwa kuandka kila kitu kumbuka hapa muhusika atalazimika kuandika hata masuala ambayo hayahusiani na fedha na kama hata andka hivyo anaweza kurejeshewa barua yake na kuambiwa "barua yako haijitoshelezi"
Pia,hawa wahujumu mipesa wanaandaliwa kuwa watumwa wa kudumu kwa kuwa kama wengine hawatam-support Baba mwenye nyumba 2020 au kama wata-support upande pinzani basi wanaweza kufunguliwa kesi au kufilisiwa kupitia barua watakazoziandika
MATUMIZI YA FEDHA ZITAKAZOREJESHWA
Fedha hizo zitatumika kama ifuatavyo;
1.Zitatumika kuaajiri vjana waliohitimu vyuo mbalimbali kuanzia 2015 hadi hivi sasa ili kwenye kampeni za kusaka tonge 2020 Baba mwenye nyumba ajitape kuwa "nichagueni mimi si mnaona nimetoa ajira kwa vjana"
2.Fedha hizo (107bn) zinaweza kutumika kwenye kampeni 2020,kumbuka Baba mwenye nyumba kaya yake haina fedha kabisa so,ameamua kutumia njia mbadala ili aweze kupata fedha na njia hiyo ni KUBALI KUWA ULIIBA THEN,REJESHA KWA KUWA TUKIENDA MAHAKAMANI WEWE MHUJUMU MIPESA UTANISHINDA
3.Fedha hizo zinaweza kutumika kulipa mishahara kuanzia hivi sasa kwa kuwa chungu cha hazina kina hali mbaya
NB;nimeandika yote haya kwa mtazamo wa kinabii na taarifa nyeti kutoka jikoni (naomba andko hili libaki kama reference)
Asanteni!