Uswahilini mkibadili biashara, badilisheni majina ya biashara ya awali mnakera

rallphryder

JF-Expert Member
Jan 24, 2015
3,630
1,442
Leo nimeshuka mitaa fulani ya Tandika, nikashikwa tumbo la kuhara, nikaona frame imeandikwa "Duka la dawa za binaadam" nikarash fasta kutafuta dawa ya tumbo, ile na storm in ghafla nakuta wadada wansugua watu scrub!! kumbe imebadilishwa ni salon!! jamani twende na wakati!
 
duh pole mkuu
 
hahaaaaaa na wale mawakala wa pesa,
kuna siku nina haraka zangu naenda kwenye kibanda kimejaa mabango ya tigo, pesa, m-pesa mpk Nmb mobile nafika nataka huduma nakutana na supu ya kongoro, nikamuuliza sasa haya mabaango si myatoe, yupo ' banda halitapendeza', asee nilimkata jicho ikabd tu niwe mpole nisepe.
 
Leo nimeshuka mitaa fulani ya Tandika, nikashikwa tumbo la kuhara, nikaona frame imeandikwa "Duka la dawa za binaadam" nikarash fasta kutafuta dawa ya tumbo, ile na storm in ghafla nakuta wadada wansugua watu scrub!! kumbe imebadilishwa ni salon!! jamani twende na wakati!
Huku kwetu Kihonda Azimio Moro kuna duka limeandikwa Baba Muddy fundi Umeme kumbe alishahama zamani yupo mwanamke ameligeuza duka la kawaida.
 
Leo nimeshuka mitaa fulani ya Tandika, nikashikwa tumbo la kuhara, nikaona frame imeandikwa "Duka la dawa za binaadam" nikarash fasta kutafuta dawa ya tumbo, ile na storm in ghafla nakuta wadada wansugua watu scrub!! kumbe imebadilishwa ni salon!! jamani twende na wakati!
hahahahah pole sanaa
 
Kama nakuona mkuu ulivyokuwa una-rash! Aisee, pole sana.
 
Leo nimeshuka mitaa fulani ya Tandika, nikashikwa tumbo la kuhara, nikaona frame imeandikwa "Duka la dawa za binaadam" nikarash fasta kutafuta dawa ya tumbo, ile na storm in ghafla nakuta wadada wansugua watu scrub!! kumbe imebadilishwa ni salon!! jamani twende na wakati!
Ndiyo Bongo yetu. Kibao kinasema bucha. Ndani wanauza maji na soda za jumla.
 
Back
Top Bottom