Search results

  1. N

    Simu kuwa rooted

    Jamani device kuwa ROOTED inafanyika yenyewe tu wakati ku update au inafanywa na IT personnel? Msaada wadau wa it
  2. N

    Ku-block mtu Calls za Kawaida

    Jukwaani tafadhali nawaomba nisaidieni namna ya kuzuia mtu asinipigie kwenye mwito wa simu wa kawaida. Upande wa WhatsApp sina tatizo napo, lakini mwito wa kawaida wa simu sifahamu hatua zinazochukuliwa ili kuzuia mtu asikupigie. Nawasilisha nikiwa na matumaini makubwa ya kusaidiwa katika hili.
  3. N

    IMTU waliochaguliwa hapo utaratibu uko vipi

    Naomba kujua waliochaguliwa mchakato uko vipi na majina yao yapo katika tovuti ya IMTU?
  4. N

    Msaada link ya Simu dot TV

    Mimi kwa sasa niko Uganda napata kila wakati sms zinazonihamasisha kuangalia vipindi vya TV na link wananitumia ambayo ni hiiFahamu vichwa vya habari kwa wiki nzima katika KAPU LA TBC saa 7:00, saa 8:00 tusake wote vipaji kupitia Klabu Raha Leo na vipindi vifuatavyo http://simu.tv/tbc. Lakini...
  5. N

    Msaada wa ku-download video kwenye mtandao

    Tafadhali wana jamii nisaidieni nawezaje ku-download software ya kuniwezesha ku-download video kwenye mtandao na software gani hiyo? Naomba taratibu zote kupakua software hiyo na jinsi ya kuitumia.
  6. N

    Wanaosimamia Ushoga na Usagaji Swali hili Lijibiwe

    Naanza na rais Obama na ninyi nyote duniani mnaotaka kwa madai ya demokrasia kwamba mtu afanye anachopenda likiwemo la kuwa shoga na usagaji. Swali ni hili. Hivi kama mama na baba zenu wangeamua kuwa mashoga na wasagaji kabla ya kuwazaa tungepata wapi rais mzuri yaani Obama na wengine wote...
  7. N

    Simu aina ya htc One V

    Wanajamii nataka kununua simu aina ya htc One V Pk 76130 ni nzuri. Tena naomba nisaidieni nawezaje kuangalia RAM yake na Processor? Nipeni mbinu hiyo wanajamii.
  8. N

    Hebu nisaidiwe juu ya hawa wanasiasa hasa wabunge

    Ukitembelea tovuti ya Bunge letu ukweli utafurahi, kwani taarifa za muhimu juu msitakabali wa nchi yetu zipo ikiwemo miswada, mijadala, hotuba mbali mbali na taarifa zingine nyingi tu. Kituko ambacho sikutegemea kuona kinakuwepo kwa watu hawa ambao sisi wenyewe kwa hiari yetu tumechagua waende...
  9. N

    Msanii wa filamu Mainda yuko wapi?

    Wanajamii mnisamehe tu lakini sina budi kuuliza hata jukwaani yamkini nitasaidiwa. Msanii huyu aitwaye jina la usanii Mainda siku nyingi sijamuona akishiriki katika filamu yuko wapi jamani? Siyo siri mimi ni mshabiki wake napenda uigizaji wake. Nimekosa nimtafutie wapi lakini katika jukwaa...
  10. N

    Mradi wa magari yaendayo kasi dar angalia....................... .......

    Wanajamii narejea tena katika mtandao nikiwa na mada ya Mradi wa Magari yaendayo Kasi Jijini. katika mada hii nataka wanajamii tufanye utafiti wa kujua mara mradi huu utakapokamilika wazawa tutawezaje kununua hisa ili tumiliki mradi huu na tuweze kujipatia kipato cha kujikimu katika mchakato wa...
  11. N

    Wanajamii yamenikuta Suala la Technolojia

    Computer yangu "DeskTop" sasa wiki ya pili kila nikiwasha wakati inafanya POST kabla ya kufika sehemu ya ku-run applications inanitaka nichague either i-run kwa Safe Mode, Normal n.k. Siku za nyuma nikichagua Normal kweli inakwenda kawaida, lakini sasa hivi kila ninachochagua ikiianza tu mara...
  12. N

    Vodacom yangu haitumie sms Bongo

    Wanajamii tafadhali msaada wenu nauomba nimenyanyasika vya kutosha. Mimi niko Congo Kinshasa nina line ya Voda ya Congo awali nilikuwa natuma sms bongo bila tatizo zinafika. Lakini sasa ni wiki ya pili kila nikituma haziendi lakini jamaa hawa Vodacom Congo wanakula Faranga mia kila ninapotuma...
  13. N

    Kunyonya mjamaa Kuna madhara gani?

    Wanajamii tafadhali naomba msaada wenu kwa habari hii ya wapenzi kunyonyana sehemu zao za siri kuna madhara gani hasa? Inawezekana swali hili lishawahi kuulizwa lakini mjue watu wanazaliwa kila leo, hivyo mambo haya kila siku yanakuwepo na wanaofika rika hizo wanakabiliana. Sasa mimi kwa kuona...
Back
Top Bottom