Msaada wa ku-download video kwenye mtandao

Msaada wa ku-download video kwenye mtandao

Nchoji

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
49
Reaction score
17
Tafadhali wana jamii nisaidieni nawezaje ku-download software ya kuniwezesha ku-download video kwenye mtandao na software gani hiyo? Naomba taratibu zote kupakua software hiyo na jinsi ya kuitumia.
 
Kama ni kwenye Youtube Video basi tumia YTD
 
Heb fafanua...unataka ku download video za aina gani?na je ni za kutoka YouTube au?maana kuna software tofauti tofauti kwa ku download video tofauti tofauti
 
Download latest maxthon browser unapoplay video inakupa option ya kudownload video au kucopy link udownload na download manager nyingine, na pia kama unatumia firefox tafuta addon inayoitwa flash video downloader unapoplay any video inakupa option ya kudownload na built in downloader au ucopy link udownload na downloaders nyingine, pia ukitumia idm unapoplay video inakupa option ya kudownload video, na pia kuna freemake video downloader hii ni moja ya software nyingi zinazoweza kudownload video
 
Tafadhali wana jamii nisaidieni nawezaje ku-download software ya kuniwezesha ku-download video kwenye mtandao na software gani hiyo? Naomba taratibu zote kupakua software hiyo na jinsi ya kuitumia.

tumia firefox halafu ongeza addon ya youtube kwenye hiyo browser. baada ya hapo ukiingia tu youtube utaona sehemu ya kudownload kwenye utube
 
Back
Top Bottom