Vodacom yangu haitumie sms Bongo

Nchoji

Member
Jul 9, 2013
49
16
Wanajamii tafadhali msaada wenu nauomba nimenyanyasika vya kutosha. Mimi niko Congo Kinshasa nina line ya Voda ya Congo awali nilikuwa natuma sms bongo bila tatizo zinafika. Lakini sasa ni wiki ya pili kila nikituma haziendi lakini jamaa hawa Vodacom Congo wanakula Faranga mia kila ninapotuma. Nikituma sms ndani ya Congo zinakwenda bila tatizo nisaidieni wanajamii niko nchi ya watu.
 
jaribu kuwasilian na customer care yao
 
Wapigie costumer care watakusaidia,, hilo tatizo nami huwa linanipata sana lakini me nikiwa burundi.
 
Poa lakini French kwa sana. Jamaa hawa English ni issue nilifanya hivyo majuzi tukapishana ilw mbaya maana French Bongo sikutaka hata kumuona mwalimu wa somo hilio. Asante kwa ushauri wako.
 
Nafikiria nikifanikisha niwadai hela yangu wamechukua ya bure. Sijajua sheria zao zinasemaje nafanya mchakato huo. Bila shaka hata wewe mwenzagu wa Burudi ikibidi dai ni haki yako.
 
Back
Top Bottom