Mimi kwa sasa niko Uganda napata kila wakati sms zinazonihamasisha kuangalia vipindi vya TV na link wananitumia ambayo ni hiiFahamu vichwa vya habari kwa wiki nzima katika KAPU LA TBC saa 7:00, saa 8:00 tusake wote vipaji kupitia Klabu Raha Leo na vipindi vifuatavyo http://simu.tv/tbc.
Lakini kila ninapoiaccess nikifika kwenye logo za tbc startv n.k. inaishia hapo tu. Nikobovya hapo kwenye tbc hakuna kinachoendelea. Tafadhali wajuzi nisaidieni au mimi kuna mahali nakosea au kuwa nje ya nchi ni kikwazo? Lkn eao wanasema popote ulipo.
Nitashukuru kupata msaada kwani kwa kipindi hichi ambacho niko nje ya nchi nahitaji sana kupaya taarifa za nyumbani. Na kiukweli mimi mdau wa nchi yangu ni mzalendo. Tafadhali wadau wa teknolojia.