Wanajamii yamenikuta Suala la Technolojia

Nchoji

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
49
Reaction score
17
Computer yangu "DeskTop" sasa wiki ya pili kila nikiwasha wakati inafanya POST kabla ya kufika sehemu ya ku-run applications inanitaka nichague either i-run kwa Safe Mode, Normal n.k. Siku za nyuma nikichagua Normal kweli inakwenda kawaida, lakini sasa hivi kila ninachochagua ikiianza tu mara inarudi mwanzo na kuishia tena sehemu ya kuchagua. Mara zote inajirudia rudia hapo hapo tu. Wataalamu tafadhali Msaada wenu naomba sana. Unajua Digitali jamani watoto watakosa kuruka kamba na kucheza tiari bado.
 
yamkini komputa yako ina tatizo kwenye boot system yake. cha kufanya iruhusu ifunguke kwa safe mode na ikisha funguka nenda accesories kisha system tools na chagua system restore. chagua tarehe ya nyuma ambayo iliwaka bila ya kukupa options, kutoka kwenye kalenda ya system restore na iruhusu ifanye restoration. Nadhani haitakusumbua tena kama tatizo ni dogo. Isipokubali basi fungua kwa safe mode, kopi mafaili yako muhimu kwenye flash au extenal disk kisha install tena OS. Usisahau kuweka antivirus ya nguvu hasa kama OS ni windows xp kwani inashambuliwa kirahisi na virus, hasa boot sector yake. Pole sana.
 
pole bestito onana na mkuu huyu atakusaidia Young Master huyo mkuu
Computer yangu "DeskTop" sasa wiki ya pili kila nikiwasha wakati inafanya POST kabla ya kufika sehemu ya ku-run applications inanitaka nichague either i-run kwa Safe Mode, Normal n.k. Siku za nyuma nikichagua Normal kweli inakwenda kawaida, lakini sasa hivi kila ninachochagua ikiianza tu mara inarudi mwanzo na kuishia tena sehemu ya kuchagua. Mara zote inajirudia rudia hapo hapo tu. Wataalamu tafadhali Msaada wenu naomba sana. Unajua Digitali jamani watoto watakosa kuruka kamba na kucheza tiari bado.
 
Last edited by a moderator:
antivirus ipi ndo kiboko kwenye pc ya window xp pls nisaidie nami
yamkini komputa yako ina tatizo kwenye boot system yake. cha kufanya iruhusu ifunguke kwa safe mode na ikisha funguka nenda accesories kisha system tools na chagua system restore. chagua tarehe ya nyuma ambayo iliwaka bila ya kukupa options, kutoka kwenye kalenda ya system restore na iruhusu ifanye restoration. Nadhani haitakusumbua tena kama tatizo ni dogo. Isipokubali basi fungua kwa safe mode, kopi mafaili yako muhimu kwenye flash au extenal disk kisha install tena OS. Usisahau kuweka antivirus ya nguvu hasa kama OS ni windows xp kwani inashambuliwa kirahisi na virus, hasa boot sector yake. Pole sana.
 
Kaspersky mimi naiaminia sana iwe original na ui-update kila wakati. Kama ipo iliyonzuri zaidi mtaalam atujuze tupone na uvamizi huu.
 
antivirus ipi ndo kiboko kwenye pc ya window xp pls nisaidie nami

Well, sasa hapo inategemea na uwezo wa computer yako...naweza kukushauri utumie antivirus flani lakini kutokana na uwezo wa computer yako...antivirus hiyo inaweza kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi. Ila top 3 antivirus software for windows are BitDefender Antivirus, Kaspersky Antivirus na Norton Antivirus. Kwa huku bongo Kaspersky Antivirus ndio antivirus inayotumiwa na watu wengi zaidi japo BitDefender ndio nzuri zaidi kuliko Kaspersky.
 
asante nitajaribu hiyo ya BitDefender kwani Kaskpersky nimeshaitumia sijaona mabadiliko yoyote yale
siku njema

Back
Top Bottom