Search results

  1. MwanaFalsafa1

    Tahadhari na mtandao wa utapeli unaojiita TCRA foundation

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAHADHARI NA MTANDAO WA UTAPELI UNAOJIITA TCRA FOUNDATIONMamlaka ya Mawasiliano imebaini kuwa kuna mtandao wa matapeli wanaotumia jina la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kutumia tovuti inayojiita “TCRA Foundation” na inayodanganya kutoa mikopo kwa...
  2. MwanaFalsafa1

    Most Powerful Militaries in Africa

    7. Libya – Power Index: 1.8428 The strength of Libya’s military comes mainly from its large cache of equipment, despite a relatively small number of active troops. Further hampering Libya’s abilities is the continuing violence and unrest stemming from the revolution begun in 2011 which has...
  3. MwanaFalsafa1

    SADC vs EAC

    Kwa wale wajuzi wa mambo ningependa kufahamu kati ya shirikisho hizi mbili za kikanda, Southern African Development Community (SADC) na East African Community (EAC), ni ipi yenye manufaa zaidi kwa Tanzania?
  4. MwanaFalsafa1

    Katuni ya Kagame toka kwa Chris Katembo

    Hii katuni toka kwa Chris Katembo imetolewa kwenye gazeti la Mwananchi jumapili toleo namba 4801 la Agosti 25, 2013.
  5. MwanaFalsafa1

    Want to Study in Spain or Malaysia?

    Do you want to study abroad? Do you want to study in Spain or Malaysia? Are your grades good enough for a scholarship? Contact Education Connect to get details on Marbella University (Spain) and Taylor's University (Malaysia). Email: educonnectinfo@yahoo.com Tel: +255 654 702 451 Whatsapp: +90...
  6. MwanaFalsafa1

    Want to Study in Spain or Malaysia?

    Do you want to study abroad? Do you want to study in Spain or Malaysia? Are your grades good enough for a scholarship? Contact Education Connect to get details on Marbella University (Spain) and Taylor's University (Malaysia). Email: educonnectinfo@yahoo.com Tel: +255 654 702 451 Whatsapp: +90...
  7. MwanaFalsafa1

    Study in Spain!

    Education Connect looks to connect African students to study abroad opportunities. Currently Education Connect has an agreement with Marbella University in Spain to recruit students for them. Marbella offers different programs at the foundation, Bachelors, Masters, and PhD levels offering...
  8. MwanaFalsafa1

    CCM Haitokufa Lakini Vyama Vingine vitaongeza Nguvu

    Kuna msemo maarufu wa kwenye duru ya biashara inayo sema "competition drives innovation". Ukienda kwenye upande wa michezo utasikia "what makes a great athlete or team is good competition." Katika kila kitu kwenye maisha mashindano hupelekea mtu au kundi la watu kuongeza bidii na ndio maaana ni...
  9. MwanaFalsafa1

    Viongozi Wakiwa Vijana

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete akionekana katika Sare zake za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).Picha hii inatajwa kupigwa Mwanzoni mwa Miaka ya 80 wakati huo Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Jeshini. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. MwanaFalsafa1

    Kauli ya serikali bungeni kuhusu mlipuko

    Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa Kanuni ya 49 (1) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Aprili, 2013, naomba kuwasilisha Taarifa yaawali kuhusu tukio la mlipuko uliotokea katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti, Jijini Arusha tarehe 5 Mei, 2013 saa4:30...
  11. MwanaFalsafa1

    Tanzania signs $196.5 mln loans with the World Bank for energy

    DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania has signed three loan agreements with the World Bank worth $196.5 million to strengthen its energy sector following major gas discoveries, the country's finance ministry said in a statement on Saturday. Statoil and Britain's BG Group said in March they plan to...
  12. MwanaFalsafa1

    Maelezo toka kwa Meya Jerry Silaa

    TAARIFA YA KUPOROMOKA KWA JENGO LA GHOROFA JIJINI DAR- ES – SALAAM MTAA WA INDIRA GANDHI NA BARABARA YA MOROGORO KIWANJA NA. 1. UTANGULIZI. Sheria zinazosimamia masuala ya ujenzi mijini zilitungwa kwa mara ya kwanza mwaka 1920 wakati wa utawala wa Mwingereza. Sheria hizo zilijukana kama Kanuni...
  13. MwanaFalsafa1

    Who is Renatus Pamba?

    Wakuu bwana Renatus Pamba ni diwani wa kata ya Sinza kupitia Chadema. Ningependa kujua zaidi kuhusu huyu kamanda. Maana kwa nilivyo sikia alikuaga msanii wa Bongo Flava sema akajiunga na Chadema kisha 2010 akagombea udiwani. Habari yake nilivyo isome ilikua fupi sanaaa na ningependa kujua zaidi...
  14. MwanaFalsafa1

    Statoil plans East Africa LNG plant after Tanzania gas find

    By Gwladys Fouche and Balazs Koranyi OSLO, March 18 (Reuters) - Statoil and Britain's BG Group plan to build a $10 billion East African liquefied natural gas (LNG) terminal well placed for exports to Asia, after the Norwegian company made a new find off the coast of Tanzania. "We have enough...
  15. MwanaFalsafa1

    The Green Book by Muammar Qaddafi

    An interesting read. The Green Book Muammar Al Qaddafi PART ONE - THE INSTRUMENT OF GOVERNMENT The instrument of government is the prime political problem confronting human communities (The problem of the instrument of government entails questions of the following kind. What form should the...
  16. MwanaFalsafa1

    They Know The Problem, Know The Cause of The Problem BUT Offer No Solutions.

    Below i an article written in The Citizen newspaper titled No Hope Without Power: Muhongo which has been penned by Freddy Macha. The article quotes Prof. Muhongo, the Minister of Energy and Natural Resources. If they know the problem, the cause of the problem, why can't they offer solutions to it?
  17. MwanaFalsafa1

    Natamani mwaka huu ungekua 2015

    Habari zenu wanaJF. Leo hii mimi nataka kutoa duku duku langu pasipo kumvunjia heshima raisi kama mtu wala uraisi kama taasisi. Nikiangalia mambo yanayo endelea sasa hivi Tanzania natamani mwaka huu ndiyo ungekua ukingo wa uraisi wa Kikwete. Ni dhahiri sasa kwamba baada ya miaka saba na nusu ya...
  18. MwanaFalsafa1

    Ninge penda kujua

    Wakuu ningependa kujua hivi mishahara ya viongozi wa kuchaguliwa kwenye local government ni kiasi gani? Kwa maana Mameya, madiwani, nk...
  19. MwanaFalsafa1

    Je kuna mtu anaifahamu historia ya Benjamin Mkapa?

    Salamu wakuu. Nilikua naomba kufahamu kama kuna mtu ana fahamu kidogo historia ya huyu raisi wetu mstaafu kuanzia udogoni mpaka kuja kuupata uraisi. Nimegundua najua kidogo sana kuhusu historia ya huyu bwana ukiacha kwamba alikuaga muandishi wa habari.
  20. MwanaFalsafa1

    Heri ya Mwaka Mpya!!!

    Kwanza nitangulize heri ya mwaka mpya kwa wanaJF wote na watembeleaje wote wa tovuti hii. Mungu ametuepushia mengi na tunaomba azidi kutuepushia. Pamoja na kusherekea na ndugu, jamaa, marafiki inabidi tutambue kwamba kusherekea huku hakudumu sana kwa maana bado kuna kero zile zile na matatizo...
Back
Top Bottom