Katuni ya Kagame toka kwa Chris Katembo

Katuni ya Kagame toka kwa Chris Katembo

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
5,564
Reaction score
850
Hii katuni toka kwa Chris Katembo imetolewa kwenye gazeti la Mwananchi jumapili toleo namba 4801 la Agosti 25, 2013.

attachment.php
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1377419378728.jpg
    uploadfromtaptalk1377419378728.jpg
    58.2 KB · Views: 3,587
Kagame hajui tu ila ana mengi zaidi ya kupoteza na huu ugomvi wake na choko choko zake dhidi ya Tanzania. Swala la Warwanda kurudishwa kwao lisha mtouch.
 
Kagame hajui tu ila ana mengi zaidi ya kupoteza na huu ugomvi wake na choko choko zake dhidi ya Tanzania. Swala la Warwanda kurudishwa kwao lisha mtouch.
Si hivyo tu mkuu, hawajui watanzania huyu PK.
Yeye anamshambulia JK, hajui kuwa katika adui wa nje Tz ina umoja wa ajabu.
Weakness kubwa ya PK ni kuwa na maadui wa ndani FDRL ambao Tz tunaweza kuwatumia vizuri bila kuingia Kigali.
 
Nimependa hiyo ya mwisho choko mchokoe pweza...binadamu hutamuweza

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hii katuni toka kwa Chris Katembo imetolewa kwenye gazeti la Mwananchi jumapili toleo namba 4801 la Agosti 25, 2013.

attachment.php

Vyombo vya Habari mtumie busara kuepusha hili swala lisije likawa kubwa! Amani ni kitu kizuri sana, na Mimi Kama Mtz sipendi kabisa hii kitu izidi kukua kwasababu naipenda Amani yetu na watz wenzangu! Mh JK Nakuomba ata Kama wakuseme vipi hao achana nao kwani una mambo mengi sana ya kufanya na kukamilisha!
 
Wana kablog kao ngoja niwapostie kanaitwa Rwanda news ha facebook wanapage yao nawapa now!
 
Si hivyo tu mkuu, hawajui watanzania huyu PK.
Yeye anamshambulia JK, hajui kuwa katika adui wa nje Tz ina umoja wa ajabu.
Weakness kubwa ya PK ni kuwa na maadui wa ndani FDRL ambao Tz tunaweza kuwatumia vizuri bila kuingia Kigali.

very well said. umenikumbusha hadithi moja ya kanisani. mume na mke walikuwa wanagombana. mume shati likawa limechanwa begani. Mgeni akabisha hodi. ugomvi ukaisha. Mume akaenda mlangoni kupokea mgeni huku shati limechanika begani.

Mgeni: kuna nini huku jamani?
Mume: hamna kitu...tulikuwa tunaongea tu; karibu ndani... (mke anakusanya vyombo anataka kuanza kuviosha).
 
Back
Top Bottom