Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee.
Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher?
You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be...
Habari za hapa bandugu, Nahitaji full set ya 6 colour screen printing machine kwa ajili ya business yangu mpya, pamoja na vifaa hivyo nitahitaji pia heat press machine for t-shirts and caps, ya mugs tayari ninayo
nitafurahi kama nitapata msaada wenu.
Simu yangu 0712000316
Wakuu wa janvi habari za kujishughulisha, ninaomba kwa anayefaham mahali nitaweza kununua DELL VOSTRO 270 Nitashukuru sana, nahitaji computer hiyo kwa ajili ya kazi zangu za ofisi coz nimeona ina specifications ninazohitaji mimi,
nawasilisha
Habari za hapa wakuu, naombeni mnielekeze sehemu hapa mjini dar nitakapopata vifaa vya Photo studio kama
Lights
Softboxes
Camera stand
Reflectors
Flashes
Tripods
Backdrops and Backdrop stand
Nitashukuru kwa msaada mtakaonipa
Habari za kazi wadau, naombeni mnifahamishe nitakapopata thin clients za ncomputing nazihitaji kwa ajili ya business yangu ndogo. Nimezichagua hizo coz naona zitakuwa less expensive and easy to manage coz sina taaluma ya computa sana
Nawasilisha
Kuna mtu alishawahi kuniambia kwamba historia ya huyu jamaa ilibidi iwekwe pembeni kwani baada ya kazi nzuri aliyofanya kumbe hakuwa mtanzania. Walikuja kugundua baadae kuwa ni mmalawi pamoja na kuwa alishaingia katika jeshi letu
Habari za hapa wanajanvi, Jana usiku nilipita mitaa flani nikasikia wimbo unapigwa redioni, nikausikiliza kwa makini hadi mwisho sikuweza kutambua jina la wimbo ila kidogo niliweza kushika baadhi ya maneno, naomba kama kuna anayeujua huu wimbo anijulishe ameimba nani na unaitwaje.
Mashairi yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.