Ncomputing thin clients

Mau

Senior Member
Apr 8, 2009
176
10
Habari za kazi wadau, naombeni mnifahamishe nitakapopata thin clients za ncomputing nazihitaji kwa ajili ya business yangu ndogo. Nimezichagua hizo coz naona zitakuwa less expensive and easy to manage coz sina taaluma ya computa sana

Nawasilisha
 
Dar zipo kwenye maduka baadhi, au uende BMTL hizo Ncomputing ni nzuri ila kuna matoleo mapya yanayo support usb,
 
Kwa mwenye msaada napatikana hapa 0712000316
 
Back
Top Bottom