Habari za hapa wakuu, naombeni mnielekeze sehemu hapa mjini dar nitakapopata vifaa vya Photo studio kama Lights Softboxes Camera stand Reflectors Flashes Tripods Backdrops and Backdrop stand Nitashukuru kwa msaada mtakaonipa