Search results

  1. Kafara

    msaada kubadili jina

    wakuu sina hakika kama hapa ni mahali pake. naomba msaada jinsi ya kubadilisha jina kwani ningependa kubadili jina nitumialo "kafara". hata hivyo nimeshindwa pata jinsi ya kufanya hivyo. kwenye profile wala setting sijaona sehemu inayowezesha kufanya hivyo. natanguliza shukurani zangu
  2. Kafara

    Niongee kingereza...(zingatia)

    http://www.youtube.com/watch?v=wao9wX3loqs# sikiliza maneno hayo.
  3. Kafara

    kufuli imegeuzwa

    jamaa yangu kaniomba ushauri. anadai jana asubuhi kamwona mkewe akivaa na kila kitu kilikuwa salama, lakini jioni mkewe aliporudi wakati anabadilisha nguo akaona kwamba mkewe amegeuza chupi yake nje ndani. sasa anajiuliza imekuwaje amkewe arudi amegeuza kufuli? au ndio jamaa wameishamsaidia...
  4. Kafara

    je inawezekana?

    wababa wanachugua mabinti wadogo wadogo wanaitwa sukari baba. na akina sukari mama nao hawako nyuma kwa kufuata serengeti boy. swali ninalojiuliza je inawezekana binti ambaye uchache (pesa) umemtembelea akawa hapendi vijana wenzake ila anawazimia wale waliomzidi umri na yuko tayari kutumia...
  5. Kafara

    Vyama vya siasa Tanzania vina brand strategists?

    cocacola, ibm, nokia, nk zinahesabika kwamba ni "brands" zenye thamani sana. kwa maana nyingine "brands" hizi zinaheshimika kwa nguvu zake sokoni. makampuni yenye brands hizi yanawivu sana na brands zake na siku zote yapo makini na tayari kuzilinda brands hizo. kuondoka kwa meneja mkuu au...
  6. Kafara

    Jemba latarajia kujifungua kabebi ka pili

    huyu njemba awali alikuwa mwanamke kisha kwa utaalamu wa sasa akawa "mwanamume" lakini akabakiza njia za kupata mimba na kuweza kupata watoto. sasa anatarajia kujifungua mtoto wa pili akiwa "mwanamume". inaelekea "njemba" inataka kuwa kote kote...
  7. Kafara

    mkutano mwengine huo...

    mkutano wa sullivan kumalizika na wachambuzi wanachambua kama mkutano huo umekuwa wa mafanikio kwa watanzania au ndio watanzania tumeuziwa mbuzi kwenye gunia. leo katika pita pita yangu nimekutana na habari za maadalizi wa mkutano mwengine utakaofanyika mwezi oktoba 2008 jijini dar katika...
  8. Kafara

    The Paper Trail

    asemavyo gado http://www.nationmedia.com/eastafrican/current/images/cartoon.htm
  9. Kafara

    Moodle open source software

    wakuu, mimi sio mtu wa teknolojia ya mtandao ila nimekutana na hii software nimeisoma na nikaona bora niwajulishe wengine kama bado hawajaifahamu inapatikana hapa http://moodle.org/ pamoja na hayo katika ukurasa wa jumuiya ya moodle tanzania nimekuta bendera inayofanana na ya iraq badala...
  10. Kafara

    Je, CCM Inajifunza Kutoka Kwa Hoja au Inategemea Propaganda?

    Kutokana na hali ya kisiasa na kiuchumi inayoendelea hapa Bongo, nimejikuta nikijiuliza, "Je, inawezekana na CCM nao wanajifunza?" Swali hili limenijia baada ya kutafakari majibu yanayotolewa na CCM na serikali ya CCM kwa hoja mbalimbali zinazotolewa na wadau kuhusu mstakabali wa kisiasa na...
  11. Kafara

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Mengi yamesemwa kuhusu Mzee wetu huyu na sisi tuliokuwa shuleni wakati ule tulilishwa kile ambacho naamini ni sumu. Wakubwa tuelimisheni ukweli kuhusu Mzee huyu. Oscar Kambona Hii ameandika Simon Martha Mkina Natumaini waandishi wa historia ya tanzania watampa nafasi yake kwa mchango mkubwa...
Back
Top Bottom