Moodle open source software

Kafara

JF-Expert Member
Feb 17, 2007
1,396
414
wakuu, mimi sio mtu wa teknolojia ya mtandao ila nimekutana na
hii software nimeisoma na nikaona bora niwajulishe wengine kama bado hawajaifahamu inapatikana hapa
http://moodle.org/

pamoja na hayo katika ukurasa wa jumuiya ya moodle tanzania nimekuta bendera inayofanana na ya iraq badala ya tanzania hebu bofya hapa
http://moodle.org/sites/index.php?country=TZ.
Ajabu hiyo jumuiya ina wanachama sasa sijui hawajaliona hilo ama ndo hivyo hawa-mind masuala ya bendera. hivi kuna njia ya kurekebisha hilo?
 
INATISHA! nikiwa kama Mtanzania bendera ni moja ya utambulisho wangu.......uzalendo hufundishwa toka utotoni.
Mpe mtoto bendera mbili na mojawapo ikiwa tuijuayo na nyingine iwe hiyo yenye "NYOTA MBILI" Jibu atakalokupa tujue huyo aliyeweka hiyo bendera alikosea "makusudi" au alifanya makusudi!!!!!!
 
Back
Top Bottom