mkutano mwengine huo...

Kafara

JF-Expert Member
Feb 17, 2007
1,392
391
mkutano wa sullivan kumalizika na wachambuzi wanachambua kama mkutano huo umekuwa wa mafanikio kwa watanzania au ndio watanzania
tumeuziwa mbuzi kwenye gunia. leo katika pita pita yangu nimekutana
na habari za maadalizi wa mkutano mwengine utakaofanyika
mwezi oktoba 2008 jijini dar katika hoteli ya kempiski.

mkutano huu unalenga wafanyabiashara wakubwa, "wawekezaji" na
serikali. yaelekea serikali inaupa umuhimu mkutano huu kwani
jk atatoa "keynote speech" na mawaziri kadhaa watakuwa na
"off the record" presentations.

kwa maelezo zaidi http://www.eiu.com/site_info.asp?info_name=conference_EMEA_10_06_08_Tanzania&page=noads&rf=0

yaelekea jk pamoja na mengine anategemewa kuzungumzia jinsi serikari inavyopambana na rushwa ;)
 
LINI SIJUI UTAFANYIKA MKUTANO WA WAKULIMA, mara nyingi imekuwa wafanyabiashara na wawekezaji
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom