Search results

  1. zacha

    Changamoto ya kufufua mchakato mpya wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    (na cde Agathon Simba Ulanga) Baada ya kuisoma Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoitwa “Katiba Inayopendekezwa Oktoba 2014”, nilisema afadhali kuwa mchakato uliishia pale ulipoishia. Kwani Rasimu ile ingekubaliwa na kupitishwa, historia ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  2. zacha

    Role and significance of tribal norms in good governance and china`s evil plan for Africa

    ROLE AND SIGNIFICANCE OF TRIBAL NORMS IN GOOD GOVERNANCE AND CHINA`S EVIL PLAN FOR AFRICA. NA Cde a.s. Ulanga Napenda kutoa maoni yangu kuhusu haya mambo mawili ambayo nimeyasoma katika Group, ulilolianzisha. Mjadala wa “Significance of Tribal Norms in Good Governance” unaonyesha kuwa kuna...
  3. zacha

    SOFTWARE MFUMO WA KUSIMAMIA BIASHARA YAKO. (EDPOS)

    EDPOS ni mfumo uliotengenezwa na vijana wa Kitanzania ambao upo mahususi kwa ajili ya kusimamia biashara yako. Biashara ambayo inawezwa kusimamiwa na huu mfumo ni kama vile: - Maduka Makubwa (Super-market) Duka...
  4. zacha

    RE: NAHITAJI IMAGE TRANSFER BELT

    Salam wakuu. Nahitaji image transfer belt ya hp printer model cp3525n. Asante.
  5. zacha

    CHADEMA na “ngekewa” isiyoweza kuitumia ipasavyo

    Chadema na “ngekewa” kisiyoweza kuitumia ipasavyo CHAMA kikuu cha upinzani hapa nchini, Chadema, kimeonyesha kwamba ukuu wa upinzani kilio nao umepatikana tu kwa kitu ambacho vijana wa mitaani wanakiita “ngekewa”, na wala sio umakini ambao unaweza kutathiminiwa na kuonekana kuwa chama...
  6. zacha

    Magufuli kawaondolea Watanzania majuto

    Magufuli kawaondolea Watanzania majuto Na Zacharia Biseko Zacharia KWA muda mrefu maisha ya Watanzania yameendeshwa kwa dhambi kuanzia juu kwenda chini na kuanzia chini hadi juu, yamekuwa hivyo kwa kiwango cha kutisha. Ilifika wakati baadhi ya wananchi wakawa wanajuta ni kwa nini walizaliwa...
  7. zacha

    Edward Snowden Is Acting Very Strange Inside Russia

    Edward Snowden Is Acting Very Strange Inside Russia Russian spy-watcher Andrei Soldatov on Snowden's strange behavior in Russia, the Nemtsov assassination, and signs of a power struggle in Putin's inner circle. Andrei Soldatov's beat is Russian spies, which is a hot topic for a new cold war...
  8. zacha

    Salaam kwa Mh. Edward lowasa na wenzake kuhusu kusema ukweli (truth) na suala zima la uadilifu

    SALAAM KWA MH. EDWARD LOWASA NA WENZAKE KUHUSU KUSEMA UKWELI (TRUTH) NA SUALA ZIMA LA UADILIFU NA UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI TANZANIA Nimemsoma Askofu Mokiwa kuhusu uadilifu na uwajibikaji wa viongozi wa serikali. Nianze kwa nukuu ya Sir Francis Bacon; samahani kwa kuileta kwenu kwa kiingereza...
  9. zacha

    Germans protest Western policies against Russia

    Thousands of Germans have staged a protest rally to express their anger at the West's warmongering policies against Russia over the ongoing crisis in Ukraine. At least 3,500 people took part in the protest, organized by the German Peace Movement, in the capital Berlin on Saturday. The...
  10. zacha

    48 Photos Of Vladimir Putin Looking At Things

    .buzzfeed.com/miriamelder/48-photos-of-vladimir-putin-looking-at-things Comrade.... Comrade....!
  11. zacha

    The 25 Most Powerful People In The World, According To Forbes

    Russian President Vladimir Putin has the world in his hands, according to Forbes. Vladimir Putin Russian President Vladimir Putin has the world in his hands, according to Forbes. Forbes has just declared Russian President Vladimir Putin to be the most powerful person on Earth. "As the...
  12. zacha

    Tumefanikiwa katika lipi? ambalo tunaweza tamba nalo kifua mbele!

    Tumefanikiwa katika lipi? ambalo tunaweza tamba nalo kifua mbele! Hivi tumefanikiwa katika nyaja ipi ya maendeleo ya nchi yetu? yale ya msingi, Yataje hapa:- Na kutokana na uwepo wa vyama vingi vya upinzani hapa nchini, Serikali yetu inaonaje kupunguza idadi ya vyama vya upinzani hapa nchini...
  13. zacha

    Mahusiano yetu na Urusi yamekufa au bado yapo?

    Wapendwa ningependa kufahamu kama Nchi yetu ya Tanzania bado tuna mahusiano mazuri na Urusi? Kama bado yapo mbona sijawai ona au kusikia kama Rais wangu JK mewai kuzuru Moscow-kremlin
  14. zacha

    Nahitaji Noah model ya zamani

    Wakuu nahitaji gari aina ya Noah brand ya zamani... fasta!
  15. zacha

    Tumwombe mungu atupe uelewa wa pamoja wa maneno, nchi, taifa, serikali na katiba ili tupate muafaka

    TUMWOMBE MUNGU ATUPE UELEWA WA PAMOJA WA MANENO, NCHI, TAIFA, SERIKALI NA KATIBA ILI TUPATE MUAFAKA WA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Na A.S. Ulanga, Tel: 0784 283520 ulangasimba@yahoo.com Nimewasilikiza na nimewaona watu wengi wakiwemo viongozi wa Dini, wakisema na kujadili...
  16. zacha

    Mwongozo unahitajika katika kuanzisha kampuni ya uwakala wa bima

    Wapendwa Habari zenu Ninahitaji mwongozo wa kufungua kampuni ya uwakala wa bima. Na ni kampuni gani ya bima ambayo iko vizuri kwenye soko na haitaniwia vigumu kushawishi wateja wangu kujiunga nayo. Naombeni Dondoo (Procedure) Nawasilisha Asanteni
  17. zacha

    Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)

    Wadau, Napenda kujuzwa kama message za whatsapp zinakuwa traced na zawezwa kuwa printed na hawa jamaa, Najua BBM haziwezi kuwa traced na kuwaprinted. lakini hizi za whatsapp ikoje? Ahsanten
  18. zacha

    China 'winner' of US-Russia conflict in Ukraine

    Russian President Vladimir Putin (L) welcomes China’s President Xi Jinping during a summit in Saint Petersburg. The Chinese government is one international player that benefits from the recent struggle between Russia and the United States over the Ukraine crisis, an analyst says. In an...
  19. zacha

    Gari inauzwa, range rover 20 milioni tu.

    MODEL: RANGE ROVER,Diesel engine. Engine model: BMW CAPACITY CC2500 KM 125385 Contact: 0715550330 NB: iko kwenye hali nzuri inatembea na pia ina heavy sound system ]
Back
Top Bottom