Gari inauzwa, range rover 20 milioni tu.

Gari inauzwa, range rover 20 milioni tu.

zacha

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2009
Posts
1,217
Reaction score
1,918
MODEL: RANGE ROVER,Diesel engine.
Engine model: BMW CAPACITY CC2500
KM 125385
Contact: 0715550330

NB: iko kwenye hali nzuri inatembea na pia ina heavy sound system
IMG-20131115-WA0004.jpgIMG-20131115-WA0007.jpgIMG-20131115-WA0008.jpgIMG-20131115-WA0006.jpgIMG-20131115-WA0005.jpg]
IMG-20131115-WA0003.jpg
 
Nina haki ya kuguna japo inawezekana sipo Sahihi!
 
Nina haki ya kuguna japo inawezekana sipo Sahihi!

upo sahihi mkuu, usiguna kwa urahisi wa bei, nipigie tuongee!
 
si bora nizichange ninunue recent.kuliko hii eti na mimi nionekane nina range?
 
si bora nizichange ninunue recent.kuliko hii eti na mimi nionekane nina range?

Hahaha mkuu Azote million 80 utafikisha baada ya muda gani? Na apo ujue ni used
 
Last edited by a moderator:
Wakuu hii ni old model,zile za EPA sio hizi zile ni Range Rover Sports au Range Rover Vogue!! Kaeni Humo!! Range Rover Sports kama ya Nimrod Mkono,Range Rover Vogue kama ya manji au Mo.
 
King Kong we hiyo model ya zamani ushaupdate na kuwa na range sport?

Tunaenda kwa strategies,RR sports/Vogue kwangu bado sijaziweka kwenye malengo yangu,mie nataka kuwa na Land Cruiser Prado kama ya Diamond in 3yrs 2come inshallah,Range kama ya Davis mosha after 7yrs inshallah.
 
Mkuu nakupa big up boss wangu, kila la kheri anza na hii nauza mimi basi ntakuuzia ki-jf
 
Back
Top Bottom