Kule hakuna bembea wala timu maarufu ambazo mkulu atatembelea na kupiga picha na wachezaji au wanamziki maarufu
Tuna viongozi vigeugeu. Kila nchi itatukimbia
Tunaogopa kuwaudhi wakubwa maana hao ndio wanatuchagulia marafiki,wewe unategemea marekani akuone unaenda urusi halafu aendelee kumwaga dola zake
Wapendwa ningependa kufahamu kama Nchi yetu ya Tanzania bado tuna mahusiano mazuri na Urusi? Kama bado yapo mbona sijawai ona au kusikia kama Rais wangu JK mewai kuzuru Moscow-kremlin
Wapendwa ningependa kufahamu kama Nchi yetu ya Tanzania bado tuna mahusiano mazuri na Urusi? Kama bado yapo mbona sijawai ona au kusikia kama Rais wangu JK mewai kuzuru Moscow-kremlin
Mkuu Umesahau Na CUBA WALITUSAIDIA SANA MADAKTARI ENZI ZA MWALIMU.
Mkuu wangu kazuru Beijing mwaka 2006 mpaka leo, Cuba sijawai kusikia au kuona pia.