Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)

zacha

JF-Expert Member
Feb 28, 2009
1,192
1,838
Wadau,

Napenda kujuzwa kama message za whatsapp zinakuwa traced na zawezwa kuwa printed na hawa jamaa, Najua BBM haziwezi kuwa traced na kuwaprinted. lakini hizi za whatsapp ikoje?

Ahsanten
 
zacha mtu asikudanganye hata kidogo kila kitu unachofanya kwenye simu wanafahamu na inakuwa mbaya zaidi kwa wanaotumia smart phones kabisa na hapa naomba ufahamu hapa namaanisha kila kitu kinapita huko kwao na wanaona kila kitu kama wakitaka.
Najua mnaidharau sana Tanzania lakini ngoja nikwambie tuko vizuri sana sana. Kama kuna software fukani hivi sipendi kuitaja ukiwanayo unaweza kujua simu, sms, picha, na kila kitu kwenye simu ya mtu sasa ndio hao TCRA washindwe.
 
Last edited by a moderator:
mara kadhaa nimesema kuwa kabla watu kwenda marekani na UK wanatakiwa kwanza wazunguuke africa waone nchi zilivyo nyuma kimaendeleo then ndo wakieda ulaya lazima wataona tanzania tulivyosonga mbele wanachokosea ni kulingnisha tanzania na ulaya... na wengine hawajawahi hata toka nje so wakiona kwenye sinema kitu wanaponda cha kwao... mimi nashukuru nimetoka na ndo maana nasema tz tuko safi kulinganisha na nchi nyingi ukanda huu wa africa
 
zacha mtu asikudanganye hata kidogo kila kitu unachofanya kwenye simu wanafahamu na inakuwa mbaya zaidi kwa wanaotumia smart phones kabisa na hapa naomba ufahamu hapa namaanisha kila kitu kinapita huko kwao na wanaona kila kitu kama wakitaka.
Najua mnaidharau sana Tanzania lakini ngoja nikwambie tuko vizuri sana sana. Kama kuna software fukani hivi sipendi kuitaja ukiwanayo unaweza kujua simu, sms, picha, na kila kitu kwenye simu ya mtu sasa ndio hao TCRA washindwe.

Naomba nitajie PM
 
yani ulichokiandika hapo kinaonesha experience yako kwenye computer science iko ovyo sana, ungekua una idea hata kidogo software zinavotengenezwa ungejua kwa nini TCRA hawawezi kutrace whatsapp... hata kampuni za simu hawana uwezo huo... na pia its illegal kujaribu kufanya hacking into someone's txts.. ungejua data flow inavokwenda usingesema message zinapita kwao, its nonsense..
 
Communication za WhatApp ziko encrypted kati ya wewe na server za WhatsApp hivyo njia pekee ya kuzisoma msg zako TCRA ni kuziomba Facebook. Kwa vile TCRA sio chombo cha sheria Marekani hii itakuwa ngumu sana.

Ni the same kwa service zengine kama BBM, Gmail etc. Ndo maana Blackberry ilibidi waweke servers zao India kuiruhusu serikali ya India kusoma msg za watu kulingana na sheria zao.
 
Samahani mkuu umetumia vigezo gani?

Ungeielewa vizuri Whatsapp jinsi inavyofanya kazi mkuu !

Massages unazotuma wewe zinaenda kwenye server ya whatsapp ndipo zinaingia kwa uliyemtumia!

Ni hivi !

Unapomtumia mtu massage ! Inakuwa Queued to server

ipo hivi

sender --> server --> Receiver ---> server ---> Sender​

huyo sender tu assume ni wewe ! Unapotuma massage inaenda kwenye server.

Server inapeleka kwa uliyemtumia ,
Ikiingia kwa uliyemtumia status inakuwa retreaved kwenye server kwamba imepokelewa !

Server ikirudishiwa status yakupokelewa na uliyemtumia nayo inakutumia wewe ndipo unaona kwako zile Double mark kwamba imepokelewa !

Uliyemtumia kama hayupo online ! Basi massage itakuwa stored kwenye whatsapp server ! Atakapokuwa online uliyemtumia Server ya whatsapp itaforwad ile massage kwake !

Sasa hapo TCRA unadhani ata ku spy kivipi ? Labda aingie kwenye Server ya Whatsapp kitu ambacho ni impossible kwa Taasisi ndogo ya kisiasa kama hiyo !
 
zacha mtu asikudanganye hata kidogo kila kitu unachofanya kwenye simu wanafahamu na inakuwa mbaya zaidi kwa wanaotumia smart phones kabisa na hapa naomba ufahamu hapa namaanisha kila kitu kinapita huko kwao na wanaona kila kitu kama wakitaka.
Najua mnaidharau sana Tanzania lakini ngoja nikwambie tuko vizuri sana sana. Kama kuna software fukani hivi sipendi kuitaja ukiwanayo unaweza kujua simu, sms, picha, na kila kitu kwenye simu ya mtu sasa ndio hao TCRA washindwe.
Hakuna lolote
 
Last edited by a moderator:
yani ulichokiandika hapo kinaonesha experience yako kwenye computer science iko ovyo sana, ungekua una idea hata kidogo software zinavotengenezwa ungejua kwa nini TCRA hawawezi kutrace whatsapp... hata kampuni za simu hawana uwezo huo... na pia its illegal kujaribu kufanya hacking into someone's txts.. ungejua data flow inavokwenda usingesema message zinapita kwao, its nonsense..

kaka taratibu, hapa tunaeleweshana... haya maneno mengine yatakwaza watu...
 
Mkuu msg ambazo hazisomwi ni za BBM kutokana Kwamba Zile Zina pincode, Je hizi Za whatsapp zikoje?

Zikoje kivipi mkuu ! Si nimekuelezea hapo ! Juu !

Wenye uwezo wakuzisoma ni Whatsapp na FBI/CIA labda kama wana connection nao !
 
Ungeielewa vizuri Whatsapp jinsi inavyofanya kazi mkuu !

Massages unazotuma wewe zinaenda kwenye server ya whatsapp ndipo zinaingia kwa uliyemtumia!

Ni hivi !

Unapomtumia mtu massage ! Inakuwa Queued to server

ipo hivi

sender --> server --> Receiver ---> server ---> Sender​

huyo sender tu assume ni wewe ! Unapotuma massage inaenda kwenye server.

Server inapeleka kwa uliyemtumia ,
Ikiingia kwa uliyemtumia status inakuwa retreaved kwenye server kwamba imepokelewa !

Server ikirudishiwa status yakupokelewa na uliyemtumia nayo inakutumia wewe ndipo unaona kwako zile Double mark kwamba imepokelewa !

Uliyemtumia kama hayupo online ! Basi massage itakuwa stored kwenye whatsapp server ! Atakapokuwa online uliyemtumia Server ya whatsapp itaforwad ile massage kwake !

Sasa hapo TCRA unadhani ata ku spy kivipi ? Labda aingie kwenye Server ya Whatsapp kitu ambacho ni impossible kwa Taasisi ndogo ya kisiasa kama hiyo !

Kwa jinsi ilivyo ni kwamba msg ambazo haziwezi somwa na kuwa printed ni za BBM maana zile zina pincode. na kwanini tunatumia namba za line zetu za simu katika kujiunga huko whatsapp na n.k?
 
Mbona ndege ya malaysia mpaka leo haijulikani ilipo pamoja na ma satellite kuwepo juu

Ndege ilipoteza mawasiliano. Mimi naamini kitu chochote kinachopita kwenye internet hakiwezi kuwa cha siri. Msiidharau TCRA kwa sababu dunia sasa ni kijiji hivyo FBI/CIA hawawezi kufanya kazi bila kushirikiana na TCRA yaani ni sawa umheshimu mkuu wa wilaya huku unamdharau mjumbe wa nyumba 10

Fanyeni mambo ya haki daima
 
Shukrani mkuu nimekupata ila bado nina mengi ya kujiuliza juu ya jambo hili...
 
yani ulichokiandika hapo kinaonesha experience yako kwenye computer science iko ovyo sana, ungekua una idea hata kidogo software zinavotengenezwa ungejua kwa nini TCRA hawawezi kutrace whatsapp... hata kampuni za simu hawana uwezo huo... na pia its illegal kujaribu kufanya hacking into someone's txts.. ungejua data flow inavokwenda usingesema message zinapita kwao, its nonsense..

Najua hujafanya utafiti vizuri na kama umesoma basi ni theory tu, hakuna ambacho TCRA wanashindwa wakiamua kufanya na ndio maana majasusi walioko Tanzania hawatumii minala yetu ya kawaida kupata mawasiliano.
Usiidharau Tanzania fanya ujinga utaona kuna wataalamu wengi sana sana wamesoma nje na wanapractice kila siku nchini.
 
Back
Top Bottom