Search results

  1. M

    Msaada, wa dokta unahitajika haraka

    Nina ndugu yangu ana HIV, amejaribu kuanzishiwa hizi dawa za kuvubaza lakini zote zimemkataa, anavimba mwili na nnyingine inamtoa mapunye baadaye yanakuwa vidonda vikubwa na nyingine anakuwa kama kachanganyikiwa. Sasa madaktari wake wa pale IDC karibu na Central Police ni kama wamemsusa, sasa...
  2. M

    Hii kali ya mwaka!

    Leo nimekutana na kina dada watatu maeneo ya mwenge, wanasema kenya wamepitisha sheria ya wanaume kuoa wanawake wengi mbona hapa kwetu hawapitishi? nikawauliza kwani tatizo lenu nini? wakasema hapana baba utakuta mtu umempenda mtu lakini huna uhuru naye kisa anandoa ya mke mmoja ila akipitisha...
  3. M

    Msaada unahitajika

    Naombeni mwenye number ya simu ya wanaharakati wa haki za watoto,kuna mtoto wa miaka minne amebakwa maeneo ya mivumoni kata ya wazo,mtuhumiwa ameshakamatwa yupo kituo cha wazo hill,ila wasi wasi wangu mtuhumiwa anaweza kuachiwa kwa sababu mwenye mtoto ni masikini sana na anaogopa police,hivyo...
  4. M

    TBC Vipi Kwa MH Nasari

    Nashindwa kuwaelewa TBC mbunge Nasari anachangia hoja Sauti haitoki kulikoni? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  5. M

    Kubaka kwa style hii ni kosa?

    Jamaa yangu kanijia anaomba ushauri,ana sema huu ni mwezi wa pili hajamjua mkewe anasema kila akimwambia anasema amechoka au anaumwa, anasema amejaribu mpaka outing lakini wapi mkewe anashilia msimamo ule ule amechoka hajisikii vizuri, Pia akesema hapo nyumbani kuna house girl wao anamtaka...
  6. M

    Tigo pesa acheni tu!

    Wadau nisaidieni hili,jana nilikuwa na mtumia mtu pesa nikakosea number moja ikaenda kwa mtu mwingine,nikawapigia tigo huduma kwa wateja mpaka nije niwapate ilichukua mda na yule mtu akawa ametoa ile pesa,nikawauliza mtanisaidiaje kumpata huyu mtu,wakajibu hawawezi maana hata mtu mwenyewe...
  7. M

    Msaada na ushauri

    Jamani naomba ushauri,jongoo anapanda mtungi mara moja tu tena dakika 3 kurdia mpaka kesho yake.jamani kero naomba msaada
  8. M

    Simu kujipiga yafichua siri

    Hili ni tukio la kweli juzi jumamosi saa mbili usiku,jamaa alimuaga mkewe mapema kuwa ataenda saluni kunyoa nywele akitoka kazini saa moja usiku,mkewe akamkubalia ila naye akamuomba akitoka kazini kwake anaomba naye apitie saluni jamaa naye kamkubalia mkewe, ilipofika saa moja na nusu jamaa...
  9. M

    Mgogoro wa uongozi na wakufunzi chuo cha Ustawi utaisha lini?

    jamani kuna mgogoro wa uongozi na wakufunzi wa chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama,mgogoro ulianza siku nyingi mpaka pro Rwegoshora akaondolewa,sasa nauliza wahusika mgogoro huu utaisha lini? maana una adhari kubwa sana kwa wanafunzi na taifa kwa ujumla,chuo kilisogeza muda wa kufungua muhula...
  10. M

    kujisifu muhimu

    Napenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi wameliweza hilo? marafiki zangu wengi wameshindwa,je wewe!jichunguze chukua hatua,naomba mnisifu kwa hili
  11. M

    Simu za viganjani zina mambo

    Kuna siku nilielezea jinsi jamaa alivyo pigwa marufuku na mke wake kushika simu yake na alimwambia akishika ataipasua hiyo simu,sasa jana jamaa kaja tena na malalamiko mengingine, anasema ilikuwa muda wa saa tatu usiku mkewe alikuwa sebuleni yeye chumbani,mke wake akawa ameacha simu yake...
  12. M

    Mwandishi anahitajika pale twiga cement

    Madereva pale wazo wanahitaji mwandishi wa habari kuelezea matatizo wanayo kumbana nayo pale kiwandani,wanasema wana siku ya nne leo hawajapikia cement na hakuna maelezo yeyote kama kuna tatizo,jana wamejaribu kuulizia mmoja wao akawekwa ndani,kwa maalezo zaidi simu ya mkubwa wao hii hapa 0713751967
  13. M

    Msaada kuhusu hatati

    Nina mpango wa kuchukua hati ya nyumba yangu,sasa mke wangu anataka tuandikishe majina yetu wawili ili isomeke wamiliki ni familia,sasa nauliza je ikitokea mkaachana hatuombei ila imetokea kisheria itakuwaje?je nitakuwa nimefanya kosa kumshirikisha kwenye hati? kwa wenye uzoefu na wanasheria...
  14. M

    Ushauri unahitajika haraka sana

    Jana rafiki yangu kanipigia simu kuniomba ushauri kuhusu kutokuelewana na mkewe wa ndoa kuhusu simu ya mkononi,jamaa ni mfanyakazi mwajiriwa na mama nimfanya biashara na biashara yenyewe ni jamaa mwenyewe katoa mtaji,sasa anasema usiku wa jumamosi kuamkia jana jumapili mkewe aliingia bafuni yeye...
  15. M

    Jamani wanaJf nisaidieni hili kutoka TRA na BANK

    Kunatabia imezuka katika hizo taasisi hapo juu tunapo tuma wake zetu kufuatilia masuala labda kulipia kodi au kuomba mkopo kutoka bank,inapotokea mke wako akapangiwa ofisa mikopo mwanaume au ofisa wa kodi mwanaume basi imekuwa ni kero ya ajabu kwa hawa watumishi kuwatongoza wake za watu!mfano...
  16. M

    Mambo!

    Mambo wana jf! naomba mnipokee kama member wa forum hii pili nakupongezeni kwa upeo mkubwa mlio nao katika kuchambua mambo hongereni sana na asanteni.
  17. M

    Naomba kufahamishwa!

    Nilikuwa naangalia kipindi cha BBA number nne kinacho rushwa na Dstv,nakamuona huko ndani ya jumba la hilo BBA kijana wetu Kanumba, lakini cha kushangaza nikwamba kanumba alikuwa na wasiwasi hata kujieleza anashindwa haswa pale alipo iitwa na Big,niloona aibu mpaka ilinilazimu nizime tv,msaada...
Back
Top Bottom