Tigo pesa acheni tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo pesa acheni tu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mike 1234, May 21, 2012.

 1. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wadau nisaidieni hili,jana nilikuwa na mtumia mtu pesa nikakosea number moja ikaenda kwa mtu mwingine,nikawapigia tigo huduma kwa wateja mpaka nije niwapate ilichukua mda na yule mtu akawa ametoa ile pesa,nikawauliza mtanisaidiaje kumpata huyu mtu,wakajibu hawawezi maana hata mtu mwenyewe hajasajili simu,nikajuuliza ina maana kuna watu wanatumia simu bila kujisajiliwa?nikawauliza inamaana 150000 imepotea hivi hivi?akajibu kubali matokeo,hivi kweli watu wameaanzisha ambayo ina kinga kwao tu kwa wengine hamna?hebu nisaidieni wadau nifanyeje?
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kaka pole sana tena sana.wewe leo kwa hii yako inafikisha thread ya tano ndani ya mwezi mmoja ambazo zote kila anayeandika ni kuhusu hawa tigo yaani wana taabu acha tu.mi nnachokushauri ni kwamba hawa cuatomer care wetu hawana cha any kind of care,cha kufanya nenda makao makuu kaeleze labda watakua na jibu la kukulidhisha.ila dah inauma sana ndugu na pesa inavyosumbua miaka hii.....
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nenda pale TCRA peleka malalamiko yako, yatashughulikiwa
   
 4. A

  ADK JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,150
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kama jamaa ataendelea kutumia simu yake kuna uwezekano mkubwa wa kuipata wewe deal tigo makao makuu
   
 5. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  asanteni sana wadau kesho namkia hapo nitakuja kuwapa taarifa
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Tigo ni wezi, hata mimi juzi yalinikuta hayo, na nikajibiwa hivyohivyo.
  Naona walienda kwenye semina elekezi ya kuwajibu hovyo wateja wao.
   
 7. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa yenu wafanyakazi wa TIGO wanazipiga hizo pesa kwa kisingizio hicho. I have a friend there!
   
 8. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Are you serious?
   
 9. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  tigo watatoa hela nyingi soon, wako na huduma zsizokidhi.
  am working on a lawsuit against tigo now
   
 10. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  sio hao tigo tu hata M-PESA nilijisahau hivyo hivyo kuna namba wametoa ukipiga wanairudisha bwana we ile namba haikupatikana kabisaaaa, vitu sensitive vile haipaswi wakosekane hewan du ,last option ilibidi nimwombe yule mtu arudishe akairudisha kama vocha na haikusaidia nanlikuwa namtumia mgonjwa,ila hii mitandao yetu iMECHOKA KUWA HUDUMIA WATEJA
   
Loading...