Leo nimekutana na kina dada watatu maeneo ya mwenge, wanasema kenya wamepitisha sheria ya wanaume kuoa wanawake wengi mbona hapa kwetu hawapitishi? nikawauliza kwani tatizo lenu nini? wakasema hapana baba utakuta mtu umempenda mtu lakini huna uhuru naye kisa anandoa ya mke mmoja ila akipitisha kama kenya na sisi tutaambulia ndoa,sasa wadau waanze kuangalia hili swala la ndoa ya mke mmoja na kulipitia upya kuna kundi linateseka mtaani huku,