Naomba kufahamishwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kufahamishwa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mike 1234, Sep 8, 2009.

 1. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa naangalia kipindi cha BBA number nne kinacho rushwa na Dstv,nakamuona huko ndani ya jumba la hilo BBA kijana wetu Kanumba, lakini cha kushangaza nikwamba kanumba alikuwa na wasiwasi hata kujieleza anashindwa haswa pale alipo iitwa na Big,niloona aibu mpaka ilinilazimu nizime tv,msaada ninao hitaji ni vigezo gani wanavyotumia kumpata mtu kwenda kwenye hilo jumba? na ninani aliyempendekekeza kanumba bila kumwandaa? huyu mtu aliempeleka huko hakuwa na nia ya kumdhalilisha kweli! na lamwisho hivi tz hatuna entertainer mwingine mwenye uwezo wa kujieleza zaidi ya huyu! hayo ndo maswali yangu najuuliza kwa uwezo wa wana jf naamini mtanisadia na kumshauri kijana wetu huyu,asanteni
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,378
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  waliompendekeza hawajakosea kwani waliangalia kwa tz kanumba yuko juu katika fani ya uigizaji hivyo nategemea kwa mtu yeyote hata wewe ungeambiwa hata kabla hajaondoka kuwa kanumba kachaguliwa nadhani ungemkubali kwani ni wazi kati ya macerebrity wa bongo yumo na yuko juu ila kajiangusha mwenyewe kashindwa kutofautisha maigizo na hali halisi.Pengine kwa kuwa amefunga maana nasikia aliuzwa iwapo ni mfuasi wa dini ya kiislamu yeye alisema am closing(yaani am fasting) hapo napo kama kweli katuabisha kinoma.Kajiangusha mwenyewe ndoja tusubiri anaweza kujirekebisha na kujinasua......
  ''Mvumilivu hula mbivu.....ila mvundika mbivu hula mbovu''
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mkuu Jile,actually it went like this:
  Big Brother: "Hallo Kanumba,why are you not eating?
  Kanumba: "I am closing this month.i will open in the evening when i futari"
   
 4. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  alipoulizwa hilo swali alishindwa kumwelewa muuliza swali so why akajibu vile ila kingine pale alipokuwa anacheka kitu ambacho siyo cha kucheka ila poa mvumilivu hula mbivu
   
 5. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Is this for real or those kinnd of joke?Mbona huwa anaonekana mjanja kumbe ni viwanja vya uswahilini!Kazi kweli kweli!
   
 6. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahahahahaha this is very interesting...eti i am closing i will open in the evening when i futari hahahaha niemcheka hadi basi uwiii....is this the same kanumba aliyejipakazia amepata walk of fame kule Hollywood-CA?.....utadhani zinatolewa kwa kiholela tuu.....ss umenipa moto wa kuangalia BBA 4.....
   
 7. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tumejadili sana kwenye thread husika. LOL. OMG!!!
   
 8. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  if yo don't mind naomba link ya hiyo bba4 please!.....maana wengine inabidi tuangalie online.....
   
Loading...