Ushauri unahitajika haraka sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri unahitajika haraka sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mike 1234, Oct 25, 2010.

 1. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jana rafiki yangu kanipigia simu kuniomba ushauri kuhusu kutokuelewana na mkewe wa ndoa kuhusu simu ya mkononi,jamaa ni mfanyakazi mwajiriwa na mama nimfanya biashara na biashara yenyewe ni jamaa mwenyewe katoa mtaji,sasa anasema usiku wa jumamosi kuamkia jana jumapili mkewe aliingia bafuni yeye akawa yupo kitandani, akachukua simu ya mkewe na kuanza kusoma sms,mama alipo toka bafuni akakuta mzee anasoma sms,mkewe akamuuliza mbona unapenda sana kupekua simu yangu?jamaa naye akamuuliza kwani niipekua kuna shida gani?asema mkewe alikuja juu na kumuonya siku akikuta ameshika simu yake tena na anaipekua ataivunja hiyo simu,sasa jamaa ndo kaja kwangu kuniomba ushauri yeye anasema kweli mke wake ni mwaminifu tena kama mwanzo?hakuna lililojificha ndani hapo?hivyo kabla sijampa ushauri nikaona ni vema na mimi niwashirikishe,hiki kisa ni cha kweli kabisa hivyo ushauri uwe wa kweli ni watu wapo ndani ya ndoa kwa miaka kumi sasa,asanteni
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mama ameanza kufanya BIASHARA NA BIDHAA YA JAMAA
  km hauna madudu nakwambia aman tupu simu unaibwaga pale juu ya meza ...aishke asiishke amani tele ...popote ukiona mtu au watu wanawekeana sheria ya KILA MTU NA SIMU YAKE APO UJUE KUNA TATIZO ...(ingawa nazngatia upraivet wa mtu)
  lakin still km hauna madudu simu unaiweka popote na wala hautakuwa mkali akiishka yan km unapika ndo kwanza unamtuma mzee..babamaiko ebu nenda na simu yangu ukaniwekee vocha uko ....AMANI TELE MOYON ..
  NI UKWELI NDO UTATUWEKA HURU NA SI KINGNE UONGO UNATUFANYA TUWE WATUMWA....!!!!
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mwambie jamaa yako akome kupekua cm ambayo co yake!
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Tatizo liko hapokayataka mwenyewe....
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kwa nini apekue simu wife akiwa ametoka?
  Ila mambo mengine bwana lol ina maana ana wasi wasi na mkewe .?
   
 6. K

  KGB Member

  #6
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rose Umenena Kweli kabisaaa...Shida watu Sio Waaminifu kenye ndoa,Wengi wanaingia kwenye ndoa kwa malengo.Kama sio kuwa na status ya Kuwa married basi itakuwa Mali.Ila Marriage is all about Devotion,trust and TRUE LOVE.
  kama Kuna trust we mtu akiigusa simu yako mshipa unakushtuka nini?Hata kama msg imeingia kwa wrong Number Unajitetea bila kuyumba.Mwnagalie mtu anaye jitetea kwa kudanganya na anaye jitetea ile kweli.Kuna marginal difference.
  @Mike
  Kama Jamaa na mkewe wamekuwa Mwili mmoja basi Hakuna limitations! ukiona limit ujue kuna Piracy hapo!
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  yan ndugu yangu acha tu
  minapingaga saaana
  mpe uhuru mwenzako km akitaka kuchek au kushka tu simu mwache ..shda ipo wap km hauna madudu
  kwanza ukiwa hauna wasiwasi na upo huru na simu yako mwenzako na yeye hatakuwa na hamu na hamu ya kushika simu yakolakin weew ukienda kuoga sabun simu unayo ,unaosha vyombo simu unayo yan simu haiwekw chn apo mwenzako lazm atataka kujua kuna nini kwenye cm????
  jaribu kuwa huru na simu ...KM UNAJIAMINI LAKIN KM UNA VMEO 10 KDG BASI ENDELEA KUFICHA SIMU KWENYE BOKSA SJUI KWENYE SIDIRIA MNAJUANA WENYEWE

  ivi jaman km umeamua kuwa na uyu sasa kinachokusibu kupeleka bailojia nje tena nini???pls usnambie NATURE
  MNAFICHA SIMU KWA KIGEZO CHA UPRAIVET SJUI UPRAIVESI ILI MUWEZE KUENDELEZA UJINGA BILA KUSHTUKIWA...achen izo ..chagua baiolojia moja gandana nayo na kwaili utakuwa huru na simu yako, hali itakayompelekea asiwe anairukia simu yako kila anapoiona cz anajua hakuna kitu....!!!!!!!!!
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ntafunga novena tisa nyingne ili roho wa bwana ashuke atusaidie katika ili
  ..UKWELI UTAWAWEKA HURU NYINYI KIZAZI CHA NYOKA(wenye kuficha simu zao)
   
 9. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,543
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Abiria chunga mzigo wako .
   
 10. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hapo hatukupi hata ushauri mana wewe na rafki yako wote ni wapumbavu sasa hapo mwanamke ana tatzo gani?? Kwan kamfumania?? Mwanaume kazi kumpekua mkeo 2 na kulalama kwa wanaume wenzio..
  Ngoja ao anaowapelekea mashitaka wamlie mkewe ndo atajua nie anaowaletea matatzo yake na mkwe ni kina nan...
  Yan badala akae aongee na mkewe ndani kwa upole na hekima.
  .
  ata biblia yasema mtu akikukosea umwite kwa upole na unyenyekevu usimsemeseme hovyo kwa watu...
   
 11. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndo swali nilimuuliza akasema kuna siku alikuwa anasoma sms akakuta jamaa kamwandikia sms njoo tupate kinywaji mkewe akamjibu jamaa nipo home na boss
   
 12. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Jamani humu si mnapaita home of great thinkers? mbona wewe sasa ndio unaonekana mpumbavu zaidi ya hao uliowaita wapumbavu, kwani lazima uchangie kama huna la kuchangia, ya nini kuwabwatukia wenzio na kuwaita wapumbavu, hili jukwaa linatoa pia uhuru wa kusoma tu maoni, si lazima uchangie. Naungana na Rose 1980, ametoa somo zuri tu. Kwa kifupi lazima huyo wife atakuwa na vimeo fulani jamaa akae aongee nae vizuri wayaweke sawa.
   
 13. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kukujibu ni makosa maana unadandia treni kwa mbele
   
 14. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwanza kutukana siyo sehemu yake hapa tafuta sehemu hili jamvi halikufai kwanza posts ni 36 ni jinsi gani ulivyo mgeni
   
 15. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ushauri wako mzuri sana na nimeupenda
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hapo kuna kitu kimejificha haiwezekani kuwa na masharti katika matumizi ya simu kati ya mume na mke. Huyo mama huenda kuna jambo anaficha jamaa asigundue kupitia simu yake.
   
 17. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni kweli maana anasema kuna siku alishawahi kukuta sms anakaribishwa kinywaji na kumjibu huyo mtu yupo nyumbani na boss badala hata ya kusema mume wangu
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kwanza elewa ushauri wa haraka haukubaliki.

  Pili, msahuri jamaa yako aache hiyo tabia mbaya ya kupekua pekua simu ya mkewe.
  Miaka kumi ya ndoa bado anapekua tu? Akijiepusha na tabia inayochukiza mkewe, hata naye atapata
  faraja kwa yale ajikerayo nayo
   
 19. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  good
   
 20. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  inawezekana mama hana shida yoyote ila hakufurahishwa na baba kupekua simu akiwa hayupo ameonyesha kama hamuamini waambie wake chini wazungumze atapata jibu
   
Loading...